Nawapenda sana

Harold Msumba

Member
Jun 29, 2013
24
8
Hellow ndugu zangu mambo vp? Nimehama fb kwa watu wanaoropoka bila kushirikisha fikra zao na ni mara ya kwanza kujiunga na wana JF wenzangu nawapenda sana. Tupo pamoja wajameni
 
Karibu sana kaka. Hata humu utakutana na fikra pevu na fikra finyu. Jiandae kikamilifu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom