Nawapenda sana paka

Hakika umenena iliyo kweli.
 
Nilichukia paka siku alipoku.nya kitandani kwangu! nilimpa kipigo kitakatifu ndo ukawa mwisho wake kukanyaga home...
 
Paka ndiyo wamenifundisha kujua saikolojia ya wanyama na pia kudumisha upendo kwa viumbe vingine pia.
 
Paka nawapenda sana...they are cute...ila mbwa nawapenda zaidi kusaab they are loyal and so loving kuzidi meooowww....cats wanaonesha love kusaab unawapa safe place ya kulala...kwao shelter na chakula ni muhimu kuliko their owners..ila a dog hata ukimpiga hata aumizwe vipi atabaki kua loyal...na they are very understanding and protective of their owners....[HASHTAG]#doglover[/HASHTAG][emoji105]
 
Dah kweli tunatofautiana

Huyo jirani yetu paa lake la nyumba lipo wazi sasa pamekuwa makazi ya paka ,wamejazana wanakera vibaya

Usiku hatulali makelele zao tu juu ya bati Mara waingie ndani wapige mikelele

Ila nimeshatagaza vita nao kuna mmoja nilimwagia maji ya moto ili hasikii

Mkuu njoo uwasombe hawa paka utakuwa umenisaidia ..kila nikiwafukuza hawasikii
 
Dume nae huwa anasepa
 
Mimi sipendi kabisa paka nilisha UA wengi tu kwa mitego wale wa porini lakini
 
Mie pia sipendi mapaka Mkuu, lakini hiyo ya kummwagia maji ya moto ulivuka mipaka.

 
Mie pia sipendi mapaka Mkuu, lakini hiyo ya kummwagia maji ya moto ulivuka mipaka.
Kweli hata baada ya tukio nilihudhunika

Ila walinikera mpk nilichukua hatua hiyo ni wabishi sana halafu mm nina kasuku wangu nawafuga ,hawa paka lzm waingie halafu wapo wengi kila mbinu ya kuwatimua imeshindana wanakaa ndani ya bati. Kuna nyakati silali kwa ujinga wao halafu wezi ,nahofia kasuku sabb hawaaminiki ,sabb iliyonisukuma kuna usiku sikulala kabisa wanaingia ndani wanapigana wanapiga mikelele natoka kuwafukuza lkn wanarudi..hawa paka miezi kibao karibia mwaka wanasumbua tu na hakuna dalili ya wao kuondoka ,nikiwa harsh wataogopa ,nikiwadekeza wataendeleza ujinga
 
Reactions: BAK
Duh! Pole sana Mkuu ni kero kubwa sana kuishi katika nyumba kama hiyo. Hama Mkuu kama inawezekana.

 
Ninae wangu ni dume na nilimfundisha mengi tangu utoto wake kwanza haibi mpaka umpe, pili hata kama nyumba imefungwa hakuna watu hatokwenda kwa jirani na nikirudi ananifuata kuanzia mbali kwa upendo mkubwa.
Mkuu ulimfundishaje??
Uliwezaje pls naomba ABC ya mtaala wako ulotumia kumfundisha
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…