Kazwala mkuu
JF-Expert Member
- Jul 2, 2016
- 1,034
- 2,250
- Thread starter
-
- #21
Hahaha! Safi sana ulimfuga vema.Mimi yule nilimuweza kwenye chakula kama hakipo kwenye sahani yake hali, ukitupa chini hali.
Hakukua na banda hivyo alikua analala na mimi room moja, alfajiri atanirukia rukia pale ili nimfungulie, ila ndo vile vidume vikamteka vikalala naye mbele.
Safi sana Nifah, paka ni kiumbe rafiki sana haswa ukimjulia.....nawaona vijana hapo wakitazama ulimwengu.Napenda paka sana,sana.
Tena siku hizi nimepunguza zamani nilipokuwa mdogo nilikuwa nalala na paka wangu.
Dah...
Paka wangu wakiwa wanasafisha macho [emoji12]
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Hahahahahaha nahisi hayo ndiyo aliyoyasema DendizzoKatika viumbe vinavyo endekeza mapenzi ni paka, ukimuweka dume sehemu ambayo hakuna mademu anaweza akahamia mtaa wa pili kurekebisha.
Huyo atafuatwa na vigagula [emoji1] [emoji1] [emoji1]hahahahahah si unapenda paka?haya huyo umewekewa....lol
Hawapendi mambo yao yajulikane.Pamoja na kufuga kote paka nilishuhudia wakisex mara moja tu, juu ya bati. Nahisi paka ni wasiri sana pia
Na limenikosesha mengi hili[emoji1] [emoji1] [emoji1]hilo liavatar tu
Unayosema ni kweli wapo watu ambao hawaivani kabisa na paka na kuna wengine hawapendi mbwa pia, nilishawahi kufuga paka mmoja wakaongezeka mpaka wakafika nane, hali hiyo iliwapa wakati mgumu baadhi ya wageni wangu.Aiseee katika hawa wanyama wakufuga , paka siwafagiliii wala nini.
Hata nikienda kutembea nyumba yenye paka sipendagi kucheza cheza now na huwa sifich nawajuza , kuwa sipendi ukaribu na paka ingawa siwachukiii.
Nikiwa geto eti nisikie wanapiga kelele zao ,nawabutua tu.
Dog ndio mpango mzima.....[emoji190] tena upate kubwa libabe.
Safi sana.Ndugu baba mmoja
Napenda paka lkn asiwe black[emoji250]