Kuna jukwaa la matangazo madogo madogo, unaweza peleka tangazo lako kule.
wao pia wananipenda, maana nadate wote sampuli hiii...niko type ya wanaopendwa na watu kama hawa
Watu wa namna yako wenye maswali kama haya ujue ni wale waliofeli sana halafu hawana ajira apo utakua umechukua 30 min kwenye internet cafe unaanza kupost hay, mind your own business, hichi ndicho ninachopenda na nimeamua kupost weka yako, servers zikijaa mods wapo watafuta tutajaza tena, this is what is all about dude , kuwa mpoleupo sawa! Self expression za hivi kila mtu akiexpress vinavyomdatisha si tutajaza threads? Nisaidie muulize umri wake na division alopataga.
natanguliza shukrani
tehe tehe haya nitaacha kidogo just for u..athanteee,tunakupenda pia kwakwel ila uache ubahili
hadi majibu ya form four yaje kutoka mwakani tutakoma sana humu MMU
Wale wanaoitwa vimodo, ehee hao sasa, yaani nikiwaona tu huwa roho yangu inasuuzika.
Napenda jinsi walivyo wembaba kwa juu halafu vinyama kidogo kiunoni, vimejaa kwenye hipsi zao kutengeneza umbo zuri la kuvutia..
Miguu yao imejaa jaa kidogo si minene sana ila kuna vijinyama kwa kiasi chake...
sikuhizi wamejua kuiweka miili yao ndani ya mavazi yanayotuonesha maumbo yao basi mimi zile shepu zao tu , wananikamata kweli kweli..
Sifa kuu walionao hawa mabinti wembamba ni usafi, wao ni extra smart ...hawapendi uchafu. nawapenda kwa hilo maana na mimi napenda usafi..ila ni watu wanaopenda sana matumizi makubwa ya pesa na starehe..
Wakipenda wamependa na wakiamua kuachana na wewe wameamua kweli..maamuzi yao huwa ya kushtukiza na magumu sana...wana roho ya kukosa huruma pindi wakiamua kukubwaga..
Ingawa huo ndio udhaifu wao ila bado nawapenda...
Kwenu wote vimodo, nawapenda jamani..
wakati tukisubiria matokeo wewe unapenda wapi mkuu, au hujitambuihadi majibu ya form four yaje kutoka mwakani tutakoma sana humu MMU
ndiocho ulichoamua kupost hapa?? unless uwe binti mwembaba, ila kama si binti mwembamba basi we utakua bongeKwahiyo?
Yreeeuuuwwwiiiii.... Mekosea njia.... Kwaheri!
Yreeeuuuwwwiiiii.... Mekosea njia.... Kwaheri!
Wale wanaoitwa vimodo, ehee hao sasa, yaani nikiwaona tu huwa roho yangu inasuuzika.
Napenda jinsi walivyo wembaba kwa juu halafu vinyama kidogo kiunoni, vimejaa kwenye hipsi zao kutengeneza umbo zuri la kuvutia..
Miguu yao imejaa jaa kidogo si minene sana ila kuna vijinyama kwa kiasi chake...
sikuhizi wamejua kuiweka miili yao ndani ya mavazi yanayotuonesha maumbo yao basi mimi zile shepu zao tu , wananikamata kweli kweli..
Sifa kuu walionao hawa mabinti wembamba ni usafi, wao ni extra smart ...hawapendi uchafu. nawapenda kwa hilo maana na mimi napenda usafi..ila ni watu wanaopenda sana matumizi makubwa ya pesa na starehe..
Wakipenda wamependa na wakiamua kuachana na wewe wameamua kweli..maamuzi yao huwa ya kushtukiza na magumu sana...wana roho ya kukosa huruma pindi wakiamua kukubwaga..
Ingawa huo ndio udhaifu wao ila bado nawapenda...
Kwenu wote vimodo, nawapenda jamani..
tehe tehe haya nitaacha kidogo just for u..