Nawaonya vijana wa upinzani na wengine mnaotaka kutuchagulai Viongozi UVCCM

Wewe utawaonya kama nani?wewe mtoto wa kiwete,mzindakaya etc???
Halafu ujue ccm hakuna wa kumlaumu aliyekichafua ccm ila yeyote aliyemo ccm ameshiriki kwa namna moja au nyingine!!!!wote wachafu,mmeoza, ni wadhaifu,kama huamini fatilia chaguzi zenu za ndani then useme nani msafi,au sikiliza matamko ya viongozi wenu yalivyo dhaifu,hasa yale ya mwenyeketi wenu dhaifu!!!!yaani msilaumiane .cha maana chukua chako mapema (ccm)beba hata kalenda utatumia.
Magamba hamna maana wote.naongea hivi najiaamini kama mtanzania.

kweli wewe ni mama jack,inaonekana baba jack hajakupa ile kitu vizuri.umeandika maneno mengi bahati mbaya yote ni uchafu anaotoa bata kule nyuma
 
ndiyo hivyo.taarifa ya kikao chao hoteli moja ubungo tunayo wakati wa mahojiano.

Aje hapa akanushe kama hajakutana na baadhi ya wagombea Holiday Inn,Lunch time hotel ubungo na Landmark hotel.Hawatafanikiwa kuiyumbisha UVCCM kama wanavyotaka.Nitaiacha jumuiya katika mikono salama

Naomba ulete uthibitisho,si kutangaza biashara za mahotel hapa kaka.JF matangazo hulipiwa pia.

Ulikana kwamba wewe siyo kiongozi.hapo kwenye Red,I rest my case!
 
Wagombea wenu hawatpita.Tatizo lako unadhani mimi ni kiongozi uvccm.Maneno makali mliyoteana na benno malisa kule Rose garden makamalizane huko.Mgombea wangu ni yupi?Usinitishe na sijui Jeuri hii unaitoa wapi.Wewe ni mtoto mdogo sana hutaweza kutuwekea mamluki wako huku ili ukipata uenyekiti wa vijana huko chadema ukose upinzani kwenye siasa zenu za kutaka nchi isitawalike.

Kaka kama umekosa forum ya kurumbana, bora ukae kimya, this is not the right place. Mtafute huyo Saanane mkarumbane huko, siyo kutuletea siasa zenu za maji taka Hapa!!! sisi tutawasidia nini? Kama Uvccm imewashinda sisi inatuhusu nini? Kama udhaifu wa chama chenu unakiangamiza na kukicost chama na serikali yake, sisi inatuhusu nini? Acha siasa za marumbano kwenye mtandano, haina msaada wowote. Kama na wewe una mgombea ambaye unampigia debe ili tumbo lako lishibe, haituhusu, maana hiyo ndiyo kazi pekee iliyobaki ccm, tumbo kwanza, taifa baadaye.....peleka taka taka zako huko huko kwenye vikao vyenu vya uvccm, hatuhitaji hata kujua ujinga na upumbavu ambao mnaujadili.....taipuuuuuuu...shenzi........!!
 
ndiyo hivyo.taarifa ya kikao chao hoteli moja ubungo tunayo wakati wa mahojiano.

Aje hapa akanushe kama hajakutana na baadhi ya wagombea Holiday Inn,Lunch time hotel ubungo na Landmark hotel.Hawatafanikiwa kuiyumbisha UVCCM kama wanavyotaka.Nitaiacha jumuiya katika mikono salama
Inafurahisha sana kuona CCM sasa inalia lia ina maana haina tena uwezo wa kucommand discipline ndani ya chama na jumuiya zake zote yaani akina Ben Saanane wawe na uwezo wa kupenetrate kwenye system ya UVCCM halafu museme UVCCM inalegitimacy ya kuendelea kuwepo sizani UVCCM mumerikoroga na mitandao yenu muliyoianza 2005 na sasa imekomaa hamna namna ya kujitoa mutalinywa hilo
 
Wagombea wapo zaidi ya 20,we umekimbilia kuwachafua wale ulioona wanakupa homa ya manjano na kukusababishia degedege.una bahati mbaya mana tunawajua wote vizuri.
 
Sioni cha ajabu, maisha ya CCM ndivyo yalivyo na sitegemei jipya.

Policcm wanatumika na CCM kuzima upinzani.

Dovutwa anatumiwa na CCM kuropoka ili apewe chai.

CCM inatumiwa na wazungu kuiba madini yetu.

Bastola inatumiwa na Rage kutishia watu Igunga.

Shigela anatumiwa na shetani kusema policcm wana akili hawawezi kuua huku wanua
Ritz na zomba wanatumiwa na Nape kuropoka mambo-taka JF


Yaani ni kutumiana tu, sasa ni nini kipya hapo

Wewe unatumiwa na nani?
 
Unashindwa kuongoza jumuiya ya vijana unafanya character assassination against others.Toa uthibitisho wa haya unayosema.Udhaifu wako kama kiongozi wa jumuiya ndiyo ulio-groom vijana ambao wanatumika kama wapo.Behave like a leader !

Unaamini kwamba kipindi cha uchaguzi watu hawastahili kukutana tena.Ni quarantine.Kazi ipo kama upeo wa wanaojiita viongozi wa chama kikongwe ndivyo wanavyofikiri.Mbona wewe hujawaambia wenzako jinsi unavyowapiga changa la macho huku ukiwa tayari na mgombea wako ambaye umemtaja hapo ili watu wasikushtukie?

I don't waste my time with people that can not accept logic, facts and be objective. That is way our intellectual league


Bro unatisha eeh! Mpaka nyinyiem wanakugwaya! Aiseeee! Who cares if the common interest is our mother land? Si kinaitwa chama chamapinduzi we pindua tu kama unaweza!
 
Heh! Mbona mwanzoni kule ulikana kwamba wewe si kiongozi wa UVCCM! Sasa limekupata lipi mpaka kusema utaiacha UVCCM kwenye mikono salama?
ndiyo hivyo.taarifa ya kikao chao hoteli moja ubungo tunayo wakati wa mahojiano.

Aje hapa akanushe kama hajakutana na baadhi ya wagombea Holiday Inn,Lunch time hotel ubungo na Landmark hotel.Hawatafanikiwa kuiyumbisha UVCCM kama wanavyotaka.Nitaiacha jumuiya katika mikono salama

h
 
Najiuliza hivi ilitokeaje Mungu akaninusuru na hiki chama? Yaani Mungu ni waajabu sana sijawahi kuwa chupu chizi; wala visisimizi pengine ningekuwa na mauza uza kwenye akili yangu; nashangaa sana haya yaliwezekanaje kwangu....Lord I thank you very much; thou savest and sanctifieth those you love most, ye mercies endureth forever!
 
Thanks ben!
Wacharaze viboko magamba what ever is true or false................!

CCM kwishney.................!
 
  • Thanks
Reactions: Ame
ndiyo hivyo.taarifa ya kikao chao hoteli moja ubungo tunayo wakati wa mahojiano.

Aje hapa akanushe kama hajakutana na baadhi ya wagombea Holiday Inn,Lunch time hotel ubungo na Landmark hotel.Hawatafanikiwa kuiyumbisha UVCCM kama wanavyotaka.Nitaiacha jumuiya katika mikono salama
Huyu ni Malisa kweli?! Mbona huwa naona ni kijana mwenye busara compare na wenzake akina Shigela!
 
Kaka Ben Saanane, wasikutishe hao Magamba!! Teketeza hiyo mijizi eti UVCCM!! Nyamb*** zao!! Ila kaka kuwa makini hawakawii kuku-Ulimboka!! Bado tunakuhitaji mkuu, ukiona wameshtuka sepa mkuu!!
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Mahojiano yamefanikiwa kwa kiasi kikubwa baina ya wanaowania nafasi mbalilmbali UVCCM.Inashangaza sana kuona ndani ya jumuiya hii baadhi ya vijana wamekubali kutumika vibaya kufanikisha malengo binafsi ya watu na taasisi za kisiasa au makundi fulani ya kisiasa hapa nchini kwa fedha na au ushawishi bila kujua kwamba wanakiangamiza chama.Taarifa ni kwamba kuna waliopandikizwa na kambi za urais na wengine wamefikia hata hatua ya kutumika na vijana wengine nje ya chama kabisa.Hawa hatuna msalia mtume ni lazima tuwaweke pembeni.

-Paul makonda anatumiwa na vijana nje ya ccm pamoja na baadhi ya wanasiasa wakongwe ndani ya chama hiki ambao wameshiriki kukichafua chama hiki kwa kiasi kikubwa pamoja na mgombea mmoja wa UWT pamoja na Nape nnauye

-Salum Hapi anatumika na mtoto mmoja wa kigopgo anayejifanya yeye ndiyo kila kitu uvccm.Tutaona atakachoambulia uchaguzi huu

-Sango Kasera anatumika na vijana nje ya CCM husuasani vijana wa Chadema wakiiongozwa na Ben Saanane

-Zenda mzindakaya anatumika na baadhi ya vijana wa kambi mojawapo ndani ya chama

-Felician huyu anatumika na kambi mojawapo ndani ya chama na pia akihusishwa na baadhi ya vijana nje ya chama hasa chadema.siku chache zilizopita alikutwa kwenye hotel moja maarufu na pamoja na waandishi wa habari na Ben Saanane wa chadema na vijana wengine

-Mashtaka ya mavunde pia kuhusishwa na vijana hao wa chadema hayajaletwa katika mlolongo unaoashiria ushiriki wake katika siasa hizi za kihaini

Naomba nitumie fursa hii kuwashauri vijana hawa wajichunguze tena kama kweli wanaweza kupewa mandate ya kuongoza jumuiya hii kongwe.Katibu UVCCM ndugu Martine Shigela ameshatoa muongozo kuhusu hili.Na nawaonya viajana wengine wa upinzani wanaojaribu kutupandikizia mwenyekiti dhaifu kwa malengo ya kurahisisha siasa zao kuelekea 2015 waache mara moja.Hii siyo demokrasia kuingilia michjakato ya kisiasa ya vyama vingine.Tunakosa mbinu ya kupambanisha sera badala yake tunacheza michezo michafu

mmeshindwa na chama chenu mnasingizia wengine
 
Utumbo huo unauleta humu ili upate nini? Kwa nini usiwafuate hao unaowataja kwenye vikao vyenu vya kichawi mkasutana juu ya uchawi wenu dhidi ya wa tanzania? Hii ni dalili njema kwamba; kifo cha fisi mla watu ki mbioni.
 
Msimpandishe chati ben, hizi sio siasa za chuo. Hana uwezo huo. Tumeona kwenye BAVICHA alivyo chemsha.
 
Kaka,Sometimes I wonder what prompts people into writing posts with the sole purpose of distorting facts and misleading the public.In as much as I will not join issues with the poster of this misconstrued facts, I want to quickly inform whoever it is that we are not taken-in by this Lengthy trash of your story.Nimekwambia uthibitishe hayo uliyoandika.Name calling hapa JF hairuhusiwi.mtego wako wa kunifanya niingie katika kundi la wavunja kanuni siwezi kuingia.Jipange kuongoza vijana wako mkuu.weka tu uchaguzi huru na wa haki.hamchelewi kuwataja wengine kwamba siyo RaiaMzee ukiona mambo yamekuwia magumu tumia mbinu ya dharura kama mwenyekiti wako wa chama taifa.azima mbinu yake ya kumchagua spika.sema zamu hii makamu mwenyekiti UVCCM atakuwa jinsia hii,kukiwa kugumu ongeza vigezo vigumu vya dharura
Ukituhumiwa kuihujumu CCM Shukuru MUNGU!.. Ukiibomoa hapo ndo kabisaa UTAKUWA UMEWAKOMBOA Watanzania wanyonge mikononi mwa mafisadi!
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Acheni uzembe wa kufikiri kwani huko magambani msafi ni nani? Kijana wa kweli hawezi kuwa huko.
 
Back
Top Bottom