Nawaonya vijana wa upinzani na wengine mnaotaka kutuchagulai Viongozi UVCCM

Kaka,

Sometimes I wonder what prompts people into writing posts with the sole purpose of distorting facts and misleading the public.In as much as I will not join issues with the poster of this misconstrued facts, I want to quickly inform whoever it is that we are not taken-in by this Lengthy trash of your story.

Nimekwambia uthibitishe hayo uliyoandika.Name calling hapa JF hairuhusiwi.mtego wako wa kunifanya niingie katika kundi la wavunja kanuni siwezi kuingia.Jipange kuongoza vijana wako mkuu.weka tu uchaguzi huru na wa haki.hamchelewi kuwataja wengine kwamba siyo Raia

Mzee ukiona mambo yamekuwia magumu tumia mbinu ya dharura kama mwenyekiti wako wa chama taifa.azima mbinu yake ya kumchagua spika.sema zamu hii makamu mwenyekiti UVCCM atakuwa jinsia hii,kukiwa kugumu ongeza vigezo vigumu vya dharura

mkuu huyu jamaa mnajuana au vipi? Coz naona kama amekungangania kweli kweli
 
Mahojiano yamefanikiwa kwa kiasi kikubwa baina ya wanaowania nafasi mbalilmbali UVCCM.Inashangaza sana kuona ndani ya jumuiya hii baadhi ya vijana wamekubali kutumika vibaya kufanikisha malengo binafsi ya watu na taasisi za kisiasa au makundi fulani ya kisiasa hapa nchini kwa fedha na au ushawishi bila kujua kwamba wanakiangamiza chama.Taarifa ni kwamba kuna waliopandikizwa na kambi za urais na wengine wamefikia hata hatua ya kutumika na vijana wengine nje ya chama kabisa.Hawa hatuna msalia mtume ni lazima tuwaweke pembeni.

-Paul makonda anatumiwa na vijana nje ya ccm pamoja na baadhi ya wanasiasa wakongwe ndani ya chama hiki ambao wameshiriki kukichafua chama hiki kwa kiasi kikubwa pamoja na mgombea mmoja wa UWT pamoja na Nape nnauye

-Salum Hapi anatumika na mtoto mmoja wa kigopgo anayejifanya yeye ndiyo kila kitu uvccm.Tutaona atakachoambulia uchaguzi huu

-Sango Kasera anatumika na vijana nje ya CCM husuasani vijana wa Chadema wakiiongozwa na Ben Saanane

-Zenda mzindakaya anatumika na baadhi ya vijana wa kambi mojawapo ndani ya chama

-Felician huyu anatumika na kambi mojawapo ndani ya chama na pia akihusishwa na baadhi ya vijana nje ya chama hasa chadema.siku chache zilizopita alikutwa kwenye hotel moja maarufu na pamoja na waandishi wa habari na Ben Saanane wa chadema na vijana wengine

-Mashtaka ya mavunde pia kuhusishwa na vijana hao wa chadema hayajaletwa katika mlolongo unaoashiria ushiriki wake katika siasa hizi za kihaini

Naomba nitumie fursa hii kuwashauri vijana hawa wajichunguze tena kama kweli wanaweza kupewa mandate ya kuongoza jumuiya hii kongwe.Katibu UVCCM ndugu Martine Shigela ameshatoa muongozo kuhusu hili.Na nawaonya viajana wengine wa upinzani wanaojaribu kutupandikizia mwenyekiti dhaifu kwa malengo ya kurahisisha siasa zao kuelekea 2015 waache mara moja.Hii siyo demokrasia kuingilia michjakato ya kisiasa ya vyama vingine.Tunakosa mbinu ya kupambanisha sera badala yake tunacheza michezo michafu

Kiongozi dhaifu hachelewi kueleza na kukiri udhaifi wake. UVCCM mlishajikoroga zamani sasa hivi nmatafuta pa kufia kisiasa. Ila poleni sana naona mnakwatuana uwanjani wenyewe kwa wenyewe!

Lakini mkishindwa toeni Pistol manake ndo mtindo wenu siku hizi.
 
Wagombea wenu hawatpita.Tatizo lako unadhani mimi ni kiongozi uvccm.Maneno makali mliyoteana na benno malisa kule Rose garden makamalizane huko.Mgombea wangu ni yupi?Usinitishe na sijui Jeuri hii unaitoa wapi.Wewe ni mtoto mdogo sana hutaweza kutuwekea mamluki wako huku ili ukipata uenyekiti wa vijana huko chadema ukose upinzani kwenye siasa zenu za kutaka nchi isitawalike.

Mkuu Captain Green naona unachelewa si muwachukue tu msiowataka katika hayo majina uloyataja kuwa nimapandikizi toka chama kinachoiongoza TZ, najua nyinyi hampendi mtu mwenye hoja/kukubalika wapelekeni kwenye uwanja wenu wakunyamazisha wa Mabwe Pande(CCM- Squad) mkuu. Kule ndo kwenye ukumbi wenu mkuu mnaoutegemea kuendesha shughuli zza chama kwa sasa pale CCM - squad.
 
ndiyo hivyo.taarifa ya kikao chao hoteli moja ubungo tunayo wakati wa mahojiano.

Aje hapa akanushe kama hajakutana na baadhi ya wagombea Holiday Inn,Lunch time hotel ubungo na Landmark hotel.Hawatafanikiwa kuiyumbisha UVCCM kama wanavyotaka.Nitaiacha jumuiya katika mikono salama

Mkuu kumbe UVCCM iko mikononi mwako? Kila la kheri katika kuiacha kwenye mikono salama.
 
Mahojiano yamefanikiwa kwa kiasi kikubwa baina ya wanaowania nafasi mbalilmbali UVCCM.Inashangaza sana kuona ndani ya jumuiya hii baadhi ya vijana wamekubali kutumika vibaya kufanikisha malengo binafsi ya watu na taasisi za kisiasa au makundi fulani ya kisiasa hapa nchini kwa fedha na au ushawishi bila kujua kwamba wanakiangamiza chama.Taarifa ni kwamba kuna waliopandikizwa na kambi za urais na wengine wamefikia hata hatua ya kutumika na vijana wengine nje ya chama kabisa.Hawa hatuna msalia mtume ni lazima tuwaweke pembeni.

-Paul makonda anatumiwa na vijana nje ya ccm pamoja na baadhi ya wanasiasa wakongwe ndani ya chama hiki ambao wameshiriki kukichafua chama hiki kwa kiasi kikubwa pamoja na mgombea mmoja wa UWT pamoja na Nape nnauye

-Salum Hapi anatumika na mtoto mmoja wa kigopgo anayejifanya yeye ndiyo kila kitu uvccm.Tutaona atakachoambulia uchaguzi huu

-Sango Kasera anatumika na vijana nje ya CCM husuasani vijana wa Chadema wakiiongozwa na Ben Saanane

-Zenda mzindakaya anatumika na baadhi ya vijana wa kambi mojawapo ndani ya chama

-Felician huyu anatumika na kambi mojawapo ndani ya chama na pia akihusishwa na baadhi ya vijana nje ya chama hasa chadema.siku chache zilizopita alikutwa kwenye hotel moja maarufu na pamoja na waandishi wa habari na Ben Saanane wa chadema na vijana wengine

-Mashtaka ya mavunde pia kuhusishwa na vijana hao wa chadema hayajaletwa katika mlolongo unaoashiria ushiriki wake katika siasa hizi za kihaini

Naomba nitumie fursa hii kuwashauri vijana hawa wajichunguze tena kama kweli wanaweza kupewa mandate ya kuongoza jumuiya hii kongwe.Katibu UVCCM ndugu Martine Shigela ameshatoa muongozo kuhusu hili.Na nawaonya viajana wengine wa upinzani wanaojaribu kutupandikizia mwenyekiti dhaifu kwa malengo ya kurahisisha siasa zao kuelekea 2015 waache mara moja.Hii siyo demokrasia kuingilia michjakato ya kisiasa ya vyama vingine.Tunakosa mbinu ya kupambanisha sera badala yake tunacheza michezo michafu
Unacholalamikia ni kipi?
Hapo kwenye red si umeshatoa suluhisho? au ni mkwala tu hamuwawezi?
Kama hamuwawezi kuwa muwazi tukupe mbinu ya kisayansi ambayo inaweza kung'oa unachotaka king'oke.
 
ndiyo hivyo.taarifa ya kikao chao hoteli moja ubungo tunayo wakati wa mahojiano.

Aje hapa akanushe kama hajakutana na baadhi ya wagombea Holiday Inn,Lunch time hotel ubungo na Landmark hotel.Hawatafanikiwa kuiyumbisha UVCCM kama wanavyotaka.Nitaiacha jumuiya katika mikono salama

Kwenye Red inathibitisha kwamba wewe ni kiongozi wa UVCCM, hata hivyo hauna sababu ya kugombana na Ben kwa vile hujui yeye yuko CDM kwa malengo gani!
 
Umesema Utaiacha jumuia ikiwa mikono salama,ahaa kumbe ndio wewe Mali..sa,poa mtajijua wenyewe na chama lenu la Mafisadi
 
Kweli nyie Magamba wadogo, yaani mamluki wakati wanaingia hadi wanapata nguvu mlikuwa wapi?

Na wawachagulie viongozi na nyie mpo wapi? Kama ndio hii UVCCM inategemewa itoe viongozi baadae basi kazi ipo.
 
ss ccm kwisha,yaan mpaka leo hamjui mchawi wenu nan?...nasema achaneni na cdm,mmalizane hukohuko mctusumbue,tuna mambo mengi ya kufanya.....kaka saanane wafumue tu hao dadadeki,mpaka wanakuongelea ujue unatisha
 
Mahojiano yamefanikiwa kwa kiasi kikubwa baina ya wanaowania nafasi mbalilmbali UVCCM.Inashangaza sana kuona ndani ya jumuiya hii baadhi ya vijana wamekubali kutumika vibaya kufanikisha malengo binafsi ya watu na taasisi za kisiasa au makundi fulani ya kisiasa hapa nchini kwa fedha na au ushawishi bila kujua kwamba wanakiangamiza chama.Taarifa ni kwamba kuna waliopandikizwa na kambi za urais na wengine wamefikia hata hatua ya kutumika na vijana wengine nje ya chama kabisa.Hawa hatuna msalia mtume ni lazima tuwaweke pembeni.

-Paul makonda anatumiwa na vijana nje ya ccm pamoja na baadhi ya wanasiasa wakongwe ndani ya chama hiki ambao wameshiriki kukichafua chama hiki kwa kiasi kikubwa pamoja na mgombea mmoja wa UWT pamoja na Nape nnauye

-Salum Hapi anatumika na mtoto mmoja wa kigopgo anayejifanya yeye ndiyo kila kitu uvccm.Tutaona atakachoambulia uchaguzi huu

-Sango Kasera anatumika na vijana nje ya CCM husuasani vijana wa Chadema wakiiongozwa na Ben Saanane

-Zenda mzindakaya anatumika na baadhi ya vijana wa kambi mojawapo ndani ya chama

-Felician huyu anatumika na kambi mojawapo ndani ya chama na pia akihusishwa na baadhi ya vijana nje ya chama hasa chadema.siku chache zilizopita alikutwa kwenye hotel moja maarufu na pamoja na waandishi wa habari na Ben Saanane wa chadema na vijana wengine

-Mashtaka ya mavunde pia kuhusishwa na vijana hao wa chadema hayajaletwa katika mlolongo unaoashiria ushiriki wake katika siasa hizi za kihaini

Naomba nitumie fursa hii kuwashauri vijana hawa wajichunguze tena kama kweli wanaweza kupewa mandate ya kuongoza jumuiya hii kongwe.Katibu UVCCM ndugu Martine Shigela ameshatoa muongozo kuhusu hili.Na nawaonya viajana wengine wa upinzani wanaojaribu kutupandikizia mwenyekiti dhaifu kwa malengo ya kurahisisha siasa zao kuelekea 2015 waache mara moja.Hii siyo demokrasia kuingilia michjakato ya kisiasa ya vyama vingine.Tunakosa mbinu ya kupambanisha sera badala yake tunacheza michezo michafu

Ww ongea 2 hapa riz 1 ndo ataamua nani ashike hayo madaraka
 
Huyu ni Malisa kweli?! Mbona huwa naona ni kijana mwenye busara compare na wenzake akina Shigela!
Benno Malisa anafanya kazi nyeti ya kuhakikisha magwanda hawana pa kutokea 2015.UVCCM itaedelea kuwa guzo muhimu kukabiliana na siasa za uchochezi na chuki.
Msimpandishe chati ben, hizi sio siasa za chuo. Hana uwezo huo. Tumeona kwenye BAVICHA alivyo chemsha.
Huyo nia aina ya siasa za akina nape.waendelee kumtumia Paul Makonda na wenzake lakini uchaguzi huu utakuwa fundisho.Hizi siasa zao za majitaka tumeshazizoea.Mwambie Nape aje hapa aongelee kuhusu ilani ya CCM ya kilimo kwanza na atetee utekelezaji wake kama utamuona.Kazi wanayofanya ni kukiabisha chama huku wagombea wao wakitumiwa pia na hao akina ben saanane.Haliwezi kuvumilika hili hata kidogo tutaona mwisho wa mchezo
Saanane tutaona yeye atawanyia nini vijana akiwa huko bavicha zaidi ya kufanya siasa chafu kuwarubuni wenzake na ili yeye aibuke shujaa kwenye siasa za vijana.afadhali mimi nimekuwa sehemu ya mkatai wa kuandaa mambo mengi ya vijana.hoja zote zinazopelejkwa bungeni kupitia wizara ya vijana source yake ni uvccm.I have been the center course of the youths policies.yeye ataweza kufanya nini wakati chama chake ni cha maandam,ano na kukusanya fedha kwa wanachi tu?
Ukituhumiwa kuihujumu CCM Shukuru MUNGU!.. Ukiibomoa hapo ndo kabisaa UTAKUWA UMEWAKOMBOA Watanzania wanyonge mikononi mwa mafisadi!

Ndugu Ufisadi wa CCM ni nini?

Mbona hili andiko limekaa Ki shigela kama siyo Malisa?kwanini mnajificha?
 
Kiongozi dhaifu hachelewi kueleza na kukiri udhaifi wake. UVCCM mlishajikoroga zamani sasa hivi nmatafuta pa kufia kisiasa. Ila poleni sana naona mnakwatuana uwanjani wenyewe kwa wenyewe!

Lakini mkishindwa toeni Pistol manake ndo mtindo wenu siku hizi.

wanaotoa pistol wanajadiliwa kwenye vikao.Hilo ni suala la mtu binafsi.mkristo au muislamu akikosea haliwezi kuhukumiwa kanisa au msikiti

Mbona wewe ulituhumiwa kwa chacha wangwe huko magwanda ina maana magwanda wote walihusika?
weka ushabiki pembeni kaka.Unamuogopa Malisa kwa kuwa unataka jimbo la moshi vijijini ambalo unajua akijitosa huko hutaambulia chochote.Siasa zako za chuki hazitakufikisha popote kaka

Rushwa zinazomwagwa tutazidhibiti na hiyo kazi tutaifanya kwa ufanisi.mwenye fedha zake aendelee kuzitumia lakini tutaona mwisho wake
 
ndiyo hivyo.taarifa ya kikao chao hoteli moja ubungo tunayo wakati wa mahojiano.

Aje hapa akanushe kama hajakutana na baadhi ya wagombea Holiday Inn,Lunch time hotel ubungo na Landmark hotel.Hawatafanikiwa kuiyumbisha UVCCM kama wanavyotaka.Nitaiacha jumuiya katika mikono salama

Umeruka rukaa wee mpaka umejidhihirisha wewe ni nani! Kweli njia ya Mwongo ni fupi!!
 
Back
Top Bottom