Nawaomba tuendelee kususia Bidhaa zao hawa jamaa kama kweli tupo nao

Ituzaingo Argentina

JF-Expert Member
Jun 20, 2020
1,870
2,176
Habarini wakuu?

Nawaomba Ndugu zangu Waislamu tuendelee kususia bidhaa za hawa madhaalim, Israel na Marekani kama vile unywaji wa kampuni ya Pepsi, na kampuni ya Coca cola, McDonald's n.k, huko walipo wanapata hasara, hivyo tuendelee kukazia hapo hapo Ndugu zangu, kama kweli unawapenda hawa ndugu zetu wanaopitia mitihani.

Kwa wale wasio waislam mliopo upande wa freedom fighters, nawaombeni msusie bidhaa zao hawa madhaalim.

Ahsanteni sana wakuu

Mods, Nawaomba msiufute huu uzi
 
Habarini wakuu?

Nawaomba Ndugu zangu Waislamu tuendelee kususia bidhaa za hawa madhaalim Israel na Marekani kama vile Pepsi, Coca cola, McDonald's n.k, huko walipo wanapata hasara, hivyo tuendelee kukazia hapo hapo Ndugu zangu, kama kweli unawapenda hawa ndugu zetu wanaopitia mitihani.

Kwa wale wasio waislam mliopo upande wa freedom fighters, nawaombeni msusie bidhaa zao hawa madhaalim.

Ahsanteni sana wakuu

Mods, Nawaomba msiufute huu uzi
waliposhambulia mlishangilia sasa hv mnajibiwa mnaita ni madhalimu , kwa mung mtajibu kwa huu unafik
 
Habarini wakuu?

Nawaomba Ndugu zangu Waislamu tuendelee kususia bidhaa za hawa madhaalim, Israel na Marekani kama vile unywaji wa kampuni ya Pepsi, na kampuni ya Coca cola, McDonald's n.k, huko walipo wanapata hasara, hivyo tuendelee kukazia hapo hapo Ndugu zangu, kama kweli unawapenda hawa ndugu zetu wanaopitia mitihani.

Kwa wale wasio waislam mliopo upande wa freedom fighters, nawaombeni msusie bidhaa zao hawa madhaalim.

Ahsanteni sana wakuu

Mods, Nawaomba msiufute huu uzi
Kwa hiyo wewe unaumia tu kwa ndugu zako wapalestina je Bokoharamu wanaofanya mauaji huko Nigeria, alshababu wanaua waislamu wenzio huko Somalia, mbona hulalamiki watu wanavyouawa huko Sudan? Mbona hulalamiki majeshi ya Putin yalivyoua waukraine huko Bucha, mbona ulifurahi Hamas walipoua wayahudi October 7 acha upendeleo wa kinafiki
 
Aaha ujinga unakosa kuwaonea hurama watanzania wanao kufa kila siku kwa umasikini, maradhi, na uminyaji wa haki. Unajifanya unapenda wa Palestina. Kama unawapenda WAPALESTINA Anza kutengeneza kwako Tanzania, ili Tanzania iwe na uwezo wa kukemea MAOVU kwingine.
 
Piga Tena Kwenye Utosi Bado Anahema Mkuu
 
Aaha ujinga unakosa kuwaonea hurama watanzania wanao kufa kila siku kwa umasikini, maradhi, na uminyaji wa haki. Unajifanya unapenda wa Palestina. Kama unawapenda WAPALESTINA Anza kutengeneza kwako Tanzania, ili Tanzania iwe na uwezo wa kukemea MAOVU kwingine.

Usinipangie, kwanza hii mada inawahusu Palestine, na sio watanzania. So, kama huna cha kuchangia pita kimya kimya mzee
 
Kwa hiyo wewe unaumia tu kwa ndugu zako wapalestina je Bokoharamu wanaofanya mauaji huko Nigeria, alshababu wanaua waislamu wenzio huko Somalia, mbona hulalamiki watu wanavyouawa huko Sudan? Mbona hulalamiki majeshi ya Putin yalivyoua waukraine huko Bucha, mbona ulifurahi Hamas walipoua wayahudi October 7 acha upendeleo wa kinafiki
Eti boko 😁 tangu lini uislamu ukawatuma watu kwenda kuwachukua wanafunzi na kuwapeleka kuwaficha! Hivi huwa mnafikiria kabla ya kuongea!

Uislamu ni dini ya amani na upendo
 
Habarini wakuu?

Nawaomba Ndugu zangu Waislamu tuendelee kususia bidhaa za hawa madhaalim, Israel na Marekani kama vile unywaji wa kampuni ya Pepsi, na kampuni ya Coca cola, McDonald's n.k, huko walipo wanapata hasara, hivyo tuendelee kukazia hapo hapo Ndugu zangu, kama kweli unawapenda hawa ndugu zetu wanaopitia mitihani.

Kwa wale wasio waislam mliopo upande wa freedom fighters, nawaombeni msusie bidhaa zao hawa madhaalim.

Ahsanteni sana wakuu

Mods, Nawaomba msiufute huu uzi
Mu muislamu ila huu unafiq umepita kipimo. Ni uongo sana. Ukisusia wewe hohe hahe ambaye huna uwezo wa kununua bidhaa zao unadhani inawaathiri? Yaani wewe wa kwa mtogole ususie bidhaa ya Usa? KwAnza hapo kwako umewahi kuwa na bidhaa gani ya USA au Israel?

Umejaza bidhaa za Kichina tu na Indonesia... Za quality ya chini maana za Quality ya juu wanaenda kuuza huko USA na Europe. Hebu tuendelee kunywa kahawa na kashata sheikh. Hayo mambo tuwaachie wenye uwezo. Mi natumia Apple na Iphone siachi wallah... Na si dhambi asilani. Sheikh nina boots za ukweli from Usa na back pack nlinunua mwaka jana tu toka USA. nimsusie nani? Ha ha ha....
 
Habarini wakuu?

Nawaomba Ndugu zangu Waislamu tuendelee kususia bidhaa za hawa madhaalim, Israel na Marekani kama vile unywaji wa kampuni ya Pepsi, na kampuni ya Coca cola, McDonald's n.k, huko walipo wanapata hasara, hivyo tuendelee kukazia hapo hapo Ndugu zangu, kama kweli unawapenda hawa ndugu zetu wanaopitia mitihani.

Kwa wale wasio waislam mliopo upande wa freedom fighters, nawaombeni msusie bidhaa zao hawa madhaalim.

Ahsanteni sana wakuu

Mods, Nawaomba msiufute huu uzi
We jamaa unafurahisha sana, hv hujui kama kwenye bajet yako ya nchi sehemu kubwa ya pato ni kutoka kwa hao unawaita wadhalimu?

Bila hao sidhan kama mpaka sasa hv ungekuwa unatuandikia huo utopoll wako
 
Back
Top Bottom