WALOLA VUNZYA
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 5,610
- 5,276
Hata umsafishe hasafishiki kamwe.
Ile kanununi ya uongo ukisemwa sana hugeuka kuwa ukweli imekataa kwenye kumchafua JPM pamoja na mapungufu yake kuongezewa chumvi ili yanoge yanaposikilizwa na kusomwa. Najiuliza uko hai khalafu unashinda na marehemu aliye lala kaburini. Inaingia akilini kweli hii??!!.