Nawaomba mnipokee

Nawaomba mnipokee

Binti Magufuli

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2011
Posts
7,479
Reaction score
5,161
Hi all wakongwe na wasio wakongwe wa JF,

Nimekuwa nikipitia hii forum kwa muda mrefu sasa. Mwanzoni sikujua ni ya nini hasa, lakin nimekuja kugundua kuwa ni most useful kwani ni njia mojawapo ya kuweza kupanua wigo wa uelewa wa mambo mbalimbali yahusuyo maisha yetu ya kila siku.

Kwa heshima na taadhima naombeni mnipokee kwa moyo mmoja.
 
Back
Top Bottom