Nawamiss sana

Nawamiss sana

aaaah mtoto muzuri kiburudisho cha moyo wangu karibu tena nyumbani.........................kiti chako kipo wazi kama ulivyokiacha hakuna wakukikalia..............:A S-rose:
 
ah ah ah jamani faza,nakumiss kinoma,nilijua hakuna wa kukalia kiti changu na angekuwepo angechuchumaa tu kwa mda,maana hakuna akiwezae zaidi yangu,thx
aaaah mtoto muzuri kiburudisho cha moyo wangu karibu tena nyumbani.........................kiti chako kipo wazi kama ulivyokiacha hakuna wakukikalia..............:A S-rose:
 
Po-poooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo!


Pearl welcome back my switushka! Pole kwa 'mihangaiko' (u know what I mean) tupo pamoja:welcome:
 
Shosti karibu tena jamvini. Tulikukosa sana pia mwaya..............much love :A S 8::A S 8::A S 8::A S 8:
 
lol hata sikupendi swituska ww(u knw wat I mean)
Po-poooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo!


Pearl welcome back my switushka! Pole kwa 'mihangaiko' (u know what I mean) tupo pamoja:welcome:
 
jamani nakumiss sana tena sana thx jamani n ziz time we will kip in touch n make it real
Shosti karibu tena jamvini. Tulikukosa sana pia mwaya..............much love :A S 8::A S 8::A S 8::A S 8:
 
Jamani nawamiss na kuwapenda sana,sitaki kuwapoteza marafiki zangu wa ukweli,for those who wanna get in touch with me just ni inbox will give u may personal details,Thanks JF for the changes binafsi nimezipenda sana,love you all pamoja for life but not till death to us part,but till death do u part.
Pearl

Duh! salamu kwa Mama Mkwe!:thumb:

打个招呼所有
 
Umetutenga sana wangu,
kwa mara ya mwisho kuonana ni pale tulipokuwa tunahamasisha kuwachangia wahanga wa mafuriko KILOSA

Hooo, Pearl, nilidhani ulikuwa kwenye "fungate", badae nikahisi labda umeambatana na Nabii "Tito" katika kutwanga nno la Uzima!!!..kumbe ndo ile michango ya changia "wahanga wa mafuriko kule Kilosa" ndo ilikukimbiza?. lol!!

Karibu tena, umekuta wengine tupo kwenye "mfungo".
 
ah ah ah bambo!fungate hata mchango sijakuchangisha?lol bado nipo nipo sanaaaaaaaaaaaaaaaaa
Hooo, Pearl, nilidhani ulikuwa kwenye "fungate", badae nikahisi labda umeambatana na Nabii "Tito" katika kutwanga nno la Uzima!!!..kumbe ndo ile michango ya changia "wahanga wa mafuriko kule Kilosa" ndo ilikukimbiza?. lol!!

Karibu tena, umekuta wengine tupo kwenye "mfungo".
 
hello Pearl, its nice to hear from you. hope all is well.
 
Back
Top Bottom