Nawakaribisha Hapa Carabash usione so!

Nawakaribisha Hapa Carabash usione so!

Mwallu bby,umekàa kipande gani hapa calabash, na umevaa nguo Gan? Nahisia za kuluona, nipo rose garden
 
Eheee kaja jamaa na suti ya darknevy na kofia ya ccm na kifimbo fikilia huo mkorogo kumbe wanamjua akanyimwa huduma! mimi nipo nawasubiri nashangaa hamji mnaniogopa njoo bwana tujuane love ya

nimecheka sana huyo mwana nyinyiemu.nakuja ngoja nikamchukue mke wangu saloon nimpeleke hom ndio nirudi
 
Mbona kama mnacheza kombolela vile...
 
Back
Top Bottom