Hii siyo kudanganywa ila ninjia ya kufanya upatanisho baina ya watu wawili na usikilize kelele za nje haziishi wewe ni sikilize mimi tu!kama zinazidi niambie tuhamishe battalion jangwa jingine!!
Haa sasa unatangazia tena hao siwema!!
Ahaa kumbe wewe ndo mwanga wangu! subiri nikusafirie!!
haaa haaa asante wifi kwa kutambua hilo..love you mingi