Nawakaribisha Chuo kikuu cha Dodoma

Nawakaribisha Chuo kikuu cha Dodoma

Na hii in education vp mkuu?
Huyo ni Mwl aliyekamilika kwa kusoma course zote za ualimu ikiwa ni pamoja na maswala yote yanayohusu elimu kwa ufasaha sana,na anaweza kuwa Mwl wa walimu tofaut na BaEd wao ni by chance tu
 
Huyo ni Mwl aliyekamilika kwa kusoma course zote za ualimu ikiwa ni pamoja na maswala yote yanayohusu elimu kwa ufasaha sana,na anaweza kuwa Mwl wa walimu tofaut na BaEd wao ni by chance tu
Nashkur mkuu
Hivi mtu aliepga bachelor of art in education anaweza kupga degree ya corse nyengne baada ya kumalza hii au kuna kalimit
 
Nashkur mkuu
Hivi mtu aliepga bachelor of art in education anaweza kupga degree ya corse nyengne baada ya kumalza hii au kuna kalimit
No limit unasoma tu sema itategemea kma loanboard wanakidai au vp
 
Pale watu wanapozarau watu ndo watu huwa wanachukua oppotunity ya kuwasikiliza wanaodharaulika..so keep that in your mind..naipenda chemistry na inanisaidia kuchanganua vitu ambavyo nilikuwa sina idea nazo...mfano daktari anaweza akanipa dawa na akaniambia hii dawa ni kwa ajili ya kumeza tu i mean ya vidonge na nyingine akaniambia ni kwa ajili ya sindano tu..so kwa mtu usiyekuwa na knowledge huta elewa ila kama umesoma medicinal chemistry utaelewa daktari anamaanisha nn..so welcome ktk ulimwengu wa chemistry
 
Ninashangaa kuona watu wanadharau chuo kama cha UDOM..lakini hii ni kutokana na kutokujua kiundani elimu inayotolewa hapo...kila institution kuna changamoto zake vyuo vikubwa vyote maarufu duniani vilianza kama UDOM..na vilikuwa kutokana na support iliyokuwa inapata kutoka kwa watu mbalimbali...inatupasa kuvitangaza vyema vyuo vyetu ili kuwasaidia vizazi vinavyokuja kuwekea mazingira mazuri ya kusoma..tupiganie changamoto zilizopo ili kwa baadaye hizo changamoto ziwezimeshaondolewa...tunapaswa kujenga nchi yetu kwa umoja...watanzania wangapi wamenufaiki na hivi vyuo vinavyodharaulika?? Ni wengi kama ukijaribu kufuatilia...tuvipe nafasi na tuache siasa zisizojenga..mbona shule za kata zilianza vibaya na sasa je takwimu zinasemaje?? Mbuyu ulianza kama mchicha hilo msilisahau jamani...jamani naipenda Udom na ninafurahi kuwa UDOM
 
Pale watu wanapozarau watu ndo watu huwa wanachukua oppotunity ya kuwasikiliza wanaodharaulika..so keep that in your mind..naipenda chemistry na inanisaidia kuchanganua vitu ambavyo nilikuwa sina idea nazo...mfano daktari anaweza akanipa dawa na akaniambia hii dawa ni kwa ajili ya kumeza tu i mean ya vidonge na nyingine akaniambia ni kwa ajili ya sindano tu..so kwa mtu usiyekuwa na knowledge huta elewa ila kama umesoma medicinal chemistry utaelewa daktari anamaanisha nn..so welcome ktk ulimwengu wa chemistry

Mbona medicinal chemistry mnayoisoma ni ndogo sana.Mnaeza kweli kuiapply?Na dawa mnazosoma si chache sana mkuu?
 
Rafiki yangu amemaliza hiyo kozi udsm hadi sasa bila bila

Kwanini unasema hawawezi kujuta?
chemistry ina uwanja mpana sana wa kujidai. Kuna watu wanasoma pharmacy tulifanya nao field kwenye moja ya viwanda vya dawa dsm, walitukubali sababu tulikua tunapiga mzigo kote upande wa production na maabara wakati wao ni wajuzi kwenye production. Mkemia unafanya kazi almost kwenye viwanda vyote na maabara za chemistry
 
Sawa mkuu,mbona ajira za hii kitu hazipatikani kirahisi kama za afya?
 
Mtafukuzwa bure, ngoja Mkemia mkuu alale na aote vibaya
 
Ninashangaa kuona watu wanadharau chuo kama cha UDOM..lakini hii ni kutokana na kutokujua kiundani elimu inayotolewa hapo...kila institution kuna changamoto zake vyuo vikubwa vyote maarufu duniani vilianza kama UDOM..na vilikuwa kutokana na support iliyokuwa inapata kutoka kwa watu mbalimbali...inatupasa kuvitangaza vyema vyuo vyetu ili kuwasaidia vizazi vinavyokuja kuwekea mazingira mazuri ya kusoma..tupiganie changamoto zilizopo ili kwa baadaye hizo changamoto ziwezimeshaondolewa...tunapaswa kujenga nchi yetu kwa umoja...watanzania wangapi wamenufaiki na hivi vyuo vinavyodharaulika?? Ni wengi kama ukijaribu kufuatilia...tuvipe nafasi na tuache siasa zisizojenga..mbona shule za kata zilianza vibaya na sasa je takwimu zinasemaje?? Mbunayu ulianza kama mchicha hilo msilisahau jamani...jamani naipenda Udom na ninafurahi kuwa UDOM
naipenda pia na naenjoy kuwa huku udom !changamoto za vyuo zinafafa hakuna jipya wat wanafuata majina tatizo
 
Sawa mkuu,mbona ajira za hii kitu hazipatikani kirahisi kama za afya?
Ajira za afya zinapatikana kiurahisi kwa sababu wanaajiriwa moja kwa moja na serikali. Ila kwa upande wa sisi wakemia, serikali haina maabara nyingi kiasi cha kuajiri wahitimu wote lakini kwenye private sectors nafasi za ajira zipo.
 
Back
Top Bottom