Nawakaribisha Chuo kikuu cha Dodoma

Nawakaribisha Chuo kikuu cha Dodoma

.dawa za kitibu nguvu za kiume zinapatikana dawa ni za asili...zinatibu uhanithi...kuwah kupiz ..kukosa nguvu ya kurudia tendo..uume legelege...nitafute kupitia https://jamii.app/JFUserGuide...dawa zote ni mitishamba asili
we ni mganga
 
Karibuni udsm pia kwa bsc chemistry, wanachukua wanafunzi 12 tu so competition ni kubwa
 
Jamani nimeuliza kuhusu physics hapo naombeni msaada
 
Kwa ufupi naweza kusema kuwa mtu anayepiga bsc physics anahusika ktk field zote zinazohusiana na physics mfano kwenye electricity, na huwa wanapiga field hadi kwenye vituo vya utabiri wa hali ya hewa na vya ndege pia...
 
vipi kuhusu bachelor of arts in geography and environmental studies
 
Kwa wale form six waliosoma chemistry katika combination zao, msiache kuchagua bsc chemistry udom au udsm. You won't regret.
 
Kwa wale form six waliosoma chemistry katika combination zao, msiache kuchagua bsc chemistry udom au udsm. You won't regret.

Rafiki yangu amemaliza hiyo kozi udsm hadi sasa bila bila

Kwanini unasema hawawezi kujuta?
 
Hata walimu na madaktari waliomaliza mwaka jana bado bila bila mkuu

Madaktari almost wote wako private sector wanakula mema ya nchi.Wengine wamejiajiri kwa mitaji ya internship

Hii chemistry sasa ina upekee gani?
 
Madaktari almost wote wako private sector wanakula mema ya nchi.Wengine wamejiajiri kwa mitaji ya internship

Hii chemistry sasa ina upekee gani?
Waliomaliza wote chemistry udsm wapo private sector wanakula mema ya nchi pia ninawajua majamaa wote waliomaliza pale mwaka jana maana huwa sio zaidi ya 15 wanaomaliza bsc chemistry udsm
 
Waliomaliza wote chemistry udsm wapo private sector wanakula mema ya nchi pia ninawajua majamaa wote waliomaliza pale mwaka jana maana huwa sio zaidi ya 15 wanaomaliza bsc chemistry udsm

Aisee... haya may be huyu ndugu yangu miaka yote aliyokaa pale hall seven alikua hasomi chemistry

Sawa ngoja tuondelee kusubiri kama una mchongo wa private sector ili ajishkize tuambiane mkuu
 
Tulo soma course ya foundation open university tunaweza chaguliwa hapo m nmesoma masomo ya science
 
Kwa wahitimu wa form six napenda kuwajulisha pia wakati mnachagua degree program pia kuna program kama za bachelor's of science in. Chemistry, biology, physics, mathematics and statistics.

Watu wengi huwa wanazidharau hizi programs but ni kwa sababu hawajui vizuri undani wake na mapana yake. So vijana msikimbilie hasa kwenye programs za ushindani wakati kuna program unaweza ukasoma na ukatoka ukawa umeiva vizuri kwa maisha ya kesho..

Mwaka Jana watu walizidharau walipokosa nafasi wakaanza kusema"lite ningejua" so katika machaguo yako chagua kulingana na points zako na idadi ya watu wanahitajika...so elewa kuwa life popote cha msingi mkono unaenda kinywa..so NAWAKARIBISHA UDOM KWENYE HIZO PROGRAM
kuna mshikaj wang anataka kuapply iz course ila anashindwa kuzitofautisha
BACHELOR OF ART WITH EDUCATION AND BACHELOR OF ART IN EDUCATION
wakumsaidai please
 
kuna mshikaj wang anataka kuapply iz course ila anashindwa kuzitofautisha
BACHELOR OF ART WITH EDUCATION AND BACHELOR OF ART IN EDUCATION
wakumsaidai please
With yan atasoma baadh ya course za edu
So yeye anachukua art na ualimu
 
Back
Top Bottom