Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,717
- 98,376
My boss me nilikuwa naonyesha tu kuwa wakati mwanamke ahusiku kabisa na mumewe kucheat. Ni mume tu mwenyeweHii pekee ndio sababu, zile zingine ni justifications tu, kwangu hazina msingi haswaaaa, maana kama umeamua kuingia kwenye mahusiano, inamaana umeamua kuingia na mtu unayempenda na umemridhia na wayajua mapungufu yake na uko tayari kuvumiliana as hata nawe haujakamilika, "love" inashinda yote.
Hahahhaha sio kwa hilo bango eti " ulikanyaga ganda la ndizi". Mwingine utamsikia "shetani alinipitia", sasa sijui walikuwa na appointment ya kwenda wapi hadi ampitieNapenda sura ya mwanaume akiwa kapigika nyumba ndogo anarudi kwa mkewe kuomba msamaha, anamkuta mke na watoto wako poa maendeleo kwenda mbele anarudi sura ndogoo, mke wangu niliteleza! Mxiiiuuuuu! Alikanyaga ganda la ndizi?!
My boss me nilikuwa naonyesha tu kuwa wakati mwanamke ahusiku kabisa na mumewe kucheat. Ni mume tu mwenyewe
Ndoa ni wito jamani. Nahisi tunaapa tu kwa mazoea "katika shida na raha". But sisi tunaingia tu ndoani na ile "katika raha". Ndoa ni kubebeana mizigo oohHii pekee ndio sababu, zile zingine ni justifications tu, kwangu hazina msingi haswaaaa, maana kama umeamua kuingia kwenye mahusiano, inamaana umeamua kuingia na mtu unayempenda na umemridhia na wayajua mapungufu yake na uko tayari kuvumiliana as hata nawe haujakamilika, "love" inashinda yote.
Hahahhaha sio kwa hilo bango eti " ulikanyaga ganda la ndizi". Mwingine utamsikia "shetani alinipitia", sasa sijui walikuwa na appointment ya kwenda wapi hadi ampitie
Napenda sura ya mwanaume akiwa kapigika nyumba ndogo anarudi kwa mkewe kuomba msamaha, anamkuta mke na watoto wako poa maendeleo kwenda mbele anarudi sura ndogoo, mke wangu niliteleza! Mxiiiuuuuu! Alikanyaga ganda la ndizi?!
Ndoa ni wito jamani. Nahisi tunaapa tu kwa mazoea "katika shida na raha". But sisi tunaingia tu ndoani na ile "katika raha". Ndoa ni kubebeana mizigo ooh
Like serious!! Kwahiyo umeshajiandaa kabisaaaa kuwa utachepuka? Nitapata wa kufanana nami, nawe utapata mchepukaji mwenzio, so hilo halinipi shida.
Shemeji bora na hawa wengine wakwambie...
tena hapo pa kutetea bila haya eti michepuko ni lazima ndo inapokera zaidi. Sasa mtu anajinenea kuchepuka, unadhani hata mkewe asipokosea hatochepuka? Maneno yanaumba so atachepuka tu. Wanajiendekeza tu kuchepuka, mwee tuwaombee tu bureNa ndio maana kati ya ndoa 10 zinazofungwa siku hizi "ndoa" ni moja tu!! Hawa viumbe wanataka tuwavumilie ila sisi ni malaika hatutakiwi kuwakosea wao, kosa dogo tu la kurekebishana huyoooo kukimbilia mchepuko ndio suluhisho lao, wanadhani sie tuna mioyo ya chuma, eti tuwavumilie tuu, tena wanaongea kuitetea kuchepuka bila hata haya.
Bora upate usingizi wa kutosha now..Mana tukienda huko hakuna kulalaEti eeeh? Hata mimi naona, maana kila nikiifikiria safari ya dubei hata usingizi sipati.
inakuaje mwanaume unamuheshimu, unampenda,unamthamini unamjali na hajawahi kukuta na mwanaume tofauti wala sms kwenye cm yako lakin unakuja kugundua anakucheat i think kuna baathi ya wanaume wanamapepo ya ngono hawalizikagi jitu linaumri wa kufanya mandeleo lenyewe linapata mda wa kumtongoza mtu mxxuuii...jamn kuna wakati wanatulaum wanawake lakin jmn kuna wanaume vimeo cjawahi kuona duuh
Kuna kurudi nyuma hatua kadhaa, na kunakurudi mwanzo kabisa. Yani mnarudigi from hero to zero, kuanza kupiga hatua tena mmmh...Ajali kazini...kurudi nyuma sio ujinga...
tena hapo pa kutetea bila haya eti michepuko ni lazima ndo inapokera zaidi. Sasa mtu anajinenea kuchepuka, unadhani hata mkewe asipokosea hatochepuka? Maneno yanaumba so atachepuka tu. Wanajiendekeza tu kuchepuka, mwee tuwaombee tu bure
Bora upate usingizi wa kutosha now..Mana tukienda huko hakuna kulala
Kwa kweli inakatisha tamaa sana kuona mtu yupo proud kukiri "udhaifu". Ni kama mgonjwa anaumwa but Kila ukimpa dawa anazitupa kisiri siri. Inamaanisha yupo tayari kufa tu. Tuwaombee tuYaani wananikeraga hawajui tu, jitu shipa limemtoka anatetea huo upuuzi, hivi ni kuwa ulimwengu umetuzidi akili badala tuutawale basi ndio unatutawala!!! Aliwazalo mjinga ndilo litalomtokea.