Nawachukia sana Polisi

Kiundwe chombo chochote cha malalamiko dhidi ya polisi
 
Lakini sikuizi mambo ya kubambikia kesi hayapo tena. Mwenda zake kaondoka nayo kuzimu ana chomwa moto kwa kubambikia kesi watu, sasa hivi nchi imeponywa.
 
Pole lakini mahakimu wa mahakama za mwanzo na wilaya ni waovu kuliko polisi, wanapindisha sheria na hukumu kwa maslahi yao binafsi na kuumiza wasio na hatia. Mimi ni mmoja wa wahanga katika mahakama ya sinza na kinondoni
 
Wanafanana wote
 
Reactions: Tsh
lakini jamaa angenizunguka akaja kusema aliibiwa simu na hela ndo ningekuwa sio snitch sio, we unajua ni kwanini nilifika hatua hiyo?
Kweli una roho mbaya mkuu, hukumuonea huruma?
 
Siku tukiachana na tabia ya kutaka kufanyiwa mambo yetu na tukaamua kuyafanya wenyewe hili tatizo la polisi kunyanyasa litapungua.

Imagine kila mtu anayenyanyaswa angedili na polisi aliyemnyanyasa nje ya taasisi kwa namna anayojua yeye.
Sasa tunaanza kuelewana na wewe, kila mtu kwa wakati wake deal straight na cop anayenyanyasa haki zako
 
Reactions: Tsh
Sasa tunaanza kuelewana na wewe, kila mtu kwa wakati wake deal straight na cop anayenyanyasa haki zako
Ndio boss. Mtu binafsi kupigana na taasisi nzima haiwezekani. Ila mtu binafsi kudeal na polisi aliyemnyanyasa hili linawezekana.
 
Pole sana ndugu.
 
Polisi ni washenzi sana. Walisababisha mama wa rfk angu kufa kwa maumivu makali ya kipigo
 
Naye ndugu Yako alionekana nimtata Sana kurejesha Deni LA watu mtu anakudai wakat unaomba mikono ilikua nyuma kwa unyenyekevu Leo hela ya watu haurejeshi Si ujinga huo
 
Huna akili, kilaza.
 
Nikikuta mbwa na askari wanataka msaada nasaidia mbwaa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…