GabiGabriel_gg
Senior Member
- Jun 24, 2026
- 106
- 145
Sijawahi tumia fb hata kidogo insta nipo GG hapaYanajifanya hayapo Facebook ila JamiiForums ndio kuna members wengi ambao wapo Facebook 😅
Ila ukiyaangaalia hapa yanajifanya majanja , kuwa hayapo fb 🤣
Kumbe ni mambigwa ya fb tu kama sisi tu😅
Kwann mzeeYeah kwa wewe naweza amini bwashee
Hii ID ninaihack.Jf imenifanya niwe mtu wa tofauti
Yaani mtu awe tofauti kupitia BICHWA KOMWE - 😂.Kivip,,,, chini ya ,BICHWA KOMWE - ?
Watu wanataka wote tutumie fesibukuKwani imekuaje??
Haiwezekani 😂😂😂Watu wanataka wote tutumie fesibuku
🤣🤣Mkuu na wewe huwa unatuma picha wakusafishie na kubadili lokeshen?😂😂