Navunja ndoa ya mtu!!!!

Kuwasiliana na mke wa mtu siyo dhambi ishu ni mnawasiliana kuhusu nini?
wewe unaelezwa ukweli lakini mbishi. Unaambiwa acha kuzoea kuwasiliana nasi mara kwa mara tulioolewa kaka ni hatari
 
Mtu kama unajielewa huwezi kuhisiwa hisiwa!!! Haiwezekani mtu uendekeze mazingira tata afu ukihisiwa ujifanye kustuka!

Mimi waume za watu wote ikifika saa 2 baaas!!!!!!!!!!! Siwatafuti tena unlesss nijue mateja wa bar!
Kwani uzinzi hufanyika usiku tuu?????????
 
Amesema hata yeye huwa anapigiwa simu ama kutumiwa sms na huyo mdada...ni two ways traffic. Yaani hana uhusiano naye wa kimapenzi!!
 
Mtu kama unajielewa huwezi kuhisiwa hisiwa!!! Haiwezekani mtu uendekeze mazingira tata afu ukihisiwa ujifanye kustuka!

Mimi waume za watu wote ikifika saa 2 baaas!!!!!!!!!!! Siwatafuti tena unlesss nijue mateja wa bar!
Lara 1, hujanijibu swali langu, umewahi kuhisiwa? By the way, mtu mwingine kukuhisi juu ya jambo fulani , ipo ndani ya mtu huyo whether unajielewa au la...
 
Nimeoa na nina watoto wawili nafahamu vizuri masuala ya ndoa, ila huyu jamaa kwa hili ninaamini kuna kitu chini ya kapeti anatafuta sababu tu, hivi katika hali ya kawaida inawezekanaje mtu aliyekufanyia ubaya anakuomba muonane afafanue kilichotokea usitake kuonana naye kwa ishu ambayo hujajiridhisha beyond reasonable doubt?
 
Huyo mwanaume co mjinga kaona mabadiliko ya mkewe ktk nyanja tofaut huwez juwa ndio maana kakukomalia ww.Jifunze kuish na watu tofaut itakusaidia sn lkn kwa hil umekosea pia na yy hawez kujua kuwa mtoto kakosea wkt no hyo anaihis vbaya.Hata ungelikuwa ww usingeamini hlo nakuona ni changa la macho.Unanifanya ht mm nikuhic vbaya coz kuna sehemu umesema unamshangaa yule mwanaume kupokea cm ya mkewe,hilo ww halikuhusu maana kila nyumba ina utaratibu wke.Badilika bwana hata km kazi.........ss watumie wafanyakaz wenzako wakusaidie hlo kwa huyo mwenye mali zke.
 
Yaani hata mimi nimefika mahala naona huyu dada yupo kwenye ndoa tata sana kwasababu hata akiokoka katika hili sakata, huenda atakuja kuachika kwa kitu kingine kidogo tuu maana jamaa siyo muelewa
 
ila mkuu mchunguze jamaa si ajabu anatabia y kudinya ovyo so anahisi na yeye wanamdinyia..

pole sana..
Huenda akawa hivyo, kwanini alipuke kwa tatizo dogo kiasi hiki? alafu kwanini anapenda kupokeapokea simu ya mkewe hata kama yupo jirani?
 
There is a thin line btn TRUTH AND LIES!!!!!!!!!!
I agree. Remember than thin line, has its thickness. and how thick is that line, depends on the following; maisha yanaendeshwa kwa hisia zaidi au uhalisia? Unawaamini wengine kwa kiasi gani? Umeshawahi kupatwa na masaibu gani au umeshuhudia nani kapatwa na nini? Wewe mwenyewe tabia zako ni zipi? Usikute jamaa naye anamega kwingine.
 
Yaani hata mimi nimefika mahala naona huyu dada yupo kwenye ndoa tata sana kwasababu hata akiokoka katika hili sakata, huenda atakuja kuachika kwa kitu kingine kidogo tuu maana jamaa siyo muelewa

kwa hii statement yako tu inaonesha either ushatafuna au unafukuzia. Acha kutufanya watoto wadogo. Unachukulia simple tu. We endelea usubiri watu kuoneshe tigo inavoliwa
 
Waweza kuwa sahihi, lakini Kwanini upokee simu ya mkeo ilihali yupo jirani huoni kwamba unaichoresha sana ndoa yako kwamba hamuaminiani?
 
wewe unaelezwa ukweli lakini mbishi. Unaambiwa acha kuzoea kuwasiliana nasi mara kwa mara tulioolewa kaka ni hatari

Nimekupata Bamukunda mimi sitaacha kuwasiliana na watu kisa eti wameolewa ila sitawasiliana na watu kama wewe unayeamini kwamba hilo ni tatizo, tuwe wakweli jamani watu wamekuwa wakiwasiliana na wake au waume wa watu kwa ishu kibao zikiwemo za kijamii, kiuchumi, kisiasa na hata kimapenzi, hatuwezi tukaacha kuwasiliana na watu walio kwenye ndoa kisa eti kuna watu wanawasiliana na wake za watu kwa masuala ya mapenzi.
 
Last edited by a moderator:
Amesema hata yeye huwa anapigiwa simu ama kutumiwa sms na huyo mdada...ni two ways traffic. Yaani hana uhusiano naye wa kimapenzi!!
Mkubwa, watu jamii ya Lara 1 hili wanali-overlook, hivi mnadhani kwa nini mke wa huyu jamaa yetu yeye hana wasiwasi na mumewe? Mawasiliano ni ya pande mbili, lakini ndoa yenye shida kwa sababu ya mawasiliano hayo ni moja, why? Ni uelewa wa mambo. Si kila anayeongea na mkeo/mumeo basi anakuchukulia. Wengine washakosa ma-deal makubwa maishani mwao kwa kukosa busala kama huyu bwana mawivu.
 
Moyo ni msitu mkubwa sn.......ww wajua zaid yetu cc. Km hujafanya mwachie Mungu atakutetea.
 
Amesema hata yeye huwa anapigiwa simu ama kutumiwa sms na huyo mdada...ni two ways traffic. Yaani hana uhusiano naye wa kimapenzi!!

Nadhani anachangia mada ambayo hajaielewa, siyo kila thread lazima mtu uchangie, hii thread inaweza kuwa imesomwa na maelfu ya watu lakini wameipotezea tu.
 
Hapa umenisaidia kiongozi!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…