feis buku JF-Expert Member Aug 29, 2011 2,342 676 Oct 18, 2011 #1 tunauza (mimi na rafiki angu namsaidia kuuza) nyumba! haina matatizo unatoa pesa leo unapewa nyumba yako hapo hapo karibuni sana!!!
tunauza (mimi na rafiki angu namsaidia kuuza) nyumba! haina matatizo unatoa pesa leo unapewa nyumba yako hapo hapo karibuni sana!!!
BONGOLALA JF-Expert Member Sep 14, 2009 16,507 11,883 Oct 18, 2011 #2 hujasema eneo gani,kiasi gani,picha ya nyumba una hati ya kiwanja au?naona watoto wameingia jf
Caroline Danzi JF-Expert Member Dec 19, 2008 3,713 1,263 Oct 18, 2011 #3 Tangazo limekaa ki Comedy mno. Ebu omba mtu akusaidie au angalia mtu aliyewahi kutoa tangazo kama lako uangalizie othewise unapoteza muda wa watu!
Tangazo limekaa ki Comedy mno. Ebu omba mtu akusaidie au angalia mtu aliyewahi kutoa tangazo kama lako uangalizie othewise unapoteza muda wa watu!
Shapu JF-Expert Member Jan 17, 2008 2,111 790 Oct 18, 2011 #4 kweli weye wa ki- feis buku feis buku! Eti "unatoa pesa leo unapewa nyumba yako hapo hapo"! ama kweli....
kweli weye wa ki- feis buku feis buku! Eti "unatoa pesa leo unapewa nyumba yako hapo hapo"! ama kweli....
feis buku JF-Expert Member Aug 29, 2011 2,342 676 Oct 18, 2011 Thread starter #5 BONGOLALA said: hujasema eneo gani,kiasi gani,picha ya nyumba una hati ya kiwanja au?naona watoto wameingia jf Click to expand... we unataka kununua nyumba ama picha??
BONGOLALA said: hujasema eneo gani,kiasi gani,picha ya nyumba una hati ya kiwanja au?naona watoto wameingia jf Click to expand... we unataka kununua nyumba ama picha??
feis buku JF-Expert Member Aug 29, 2011 2,342 676 Oct 18, 2011 Thread starter #6 Shapu said: kweli weye wa ki- feis buku feis buku! Eti "unatoa pesa leo unapewa nyumba yako hapo hapo"! ama kweli.... Click to expand... tembea uone!!!
Shapu said: kweli weye wa ki- feis buku feis buku! Eti "unatoa pesa leo unapewa nyumba yako hapo hapo"! ama kweli.... Click to expand... tembea uone!!!
feis buku JF-Expert Member Aug 29, 2011 2,342 676 Oct 18, 2011 Thread starter #7 Caroline Danzi said: Tangazo limekaa ki Comedy mno. Ebu omba mtu akusaidie au angalia mtu aliyewahi kutoa tangazo kama lako uangalizie othewise unapoteza muda wa watu! Click to expand... huo ni mtazamo wako! kaa pembeni wenzio wanunue!
Caroline Danzi said: Tangazo limekaa ki Comedy mno. Ebu omba mtu akusaidie au angalia mtu aliyewahi kutoa tangazo kama lako uangalizie othewise unapoteza muda wa watu! Click to expand... huo ni mtazamo wako! kaa pembeni wenzio wanunue!
K KIBONGOMKUTI JF-Expert Member Nov 9, 2010 1,425 605 Oct 18, 2011 #9 Duh feisi buku mwanzoni nimestuka kusoma ww na rafiki yako mnauza, pumzi imetulia baada ya kugundua kuwa ni nyumba
Duh feisi buku mwanzoni nimestuka kusoma ww na rafiki yako mnauza, pumzi imetulia baada ya kugundua kuwa ni nyumba
kussy JF-Expert Member Jun 15, 2010 400 121 Oct 18, 2011 #10 feis buku said: tunauza (mimi na rafiki angu namsaidia kuuza) nyumba! haina matatizo unatoa pesa leo unapewa nyumba yako hapo hapo karibuni sana!!! Click to expand... Kuwa serious bwana! acha uhuni
feis buku said: tunauza (mimi na rafiki angu namsaidia kuuza) nyumba! haina matatizo unatoa pesa leo unapewa nyumba yako hapo hapo karibuni sana!!! Click to expand... Kuwa serious bwana! acha uhuni
The Boss JF-Expert Member Aug 18, 2009 49,114 115,931 Oct 18, 2011 #11 kuna kitu mnauza lakini sio nyumba....or is it nyumba ndogo?lol
feis buku JF-Expert Member Aug 29, 2011 2,342 676 Oct 19, 2011 Thread starter #13 ARV said: Moderator fanya kazi yako,block hii! Click to expand... then!!!.......
Shark JF-Expert Member Jan 25, 2010 29,466 29,165 Oct 19, 2011 #14 Kule facebook demu unamjua leo mchana, Usiku tayari ushamaliza mambo. Huyu anafikiri na hapa hivyohivyo!
Kule facebook demu unamjua leo mchana, Usiku tayari ushamaliza mambo. Huyu anafikiri na hapa hivyohivyo!
Ringo Edmund JF-Expert Member May 10, 2010 4,879 1,125 Oct 19, 2011 #15 kwani unapigaga ngapi ndio unakuwa bwiii? ili nicheki mfuko nisiingie kichwakichwa?
Amoeba JF-Expert Member Aug 20, 2009 3,289 782 Oct 19, 2011 #16 Dada Feis, achana na hao vijana siyo wanunuzi; hebu ni-pm akaunti namba yako hapa nikuingizie pesa fastafasta nijikamatie mjengo!
Dada Feis, achana na hao vijana siyo wanunuzi; hebu ni-pm akaunti namba yako hapa nikuingizie pesa fastafasta nijikamatie mjengo!
newmzalendo JF-Expert Member Mar 23, 2009 1,378 550 Oct 20, 2011 #18 Anauza yeye na Rafiki yake. na anauza Fasta Fasta. ushawahi kusikia usemi wa kiswahili ktk Nyumba kuna unyumba.
Anauza yeye na Rafiki yake. na anauza Fasta Fasta. ushawahi kusikia usemi wa kiswahili ktk Nyumba kuna unyumba.
V valid statement JF-Expert Member Sep 18, 2011 2,851 870 Oct 20, 2011 #19 tangazo halijakaa vizuri hili. Andika vitu ambavo msomaji akilisoma avutiwe.
Shark JF-Expert Member Jan 25, 2010 29,466 29,165 Oct 20, 2011 #20 mysteryman said: Hivi ni nyumba kweli? Click to expand... No, Unyumba!!