Nauza

feis buku

JF-Expert Member
Aug 29, 2011
2,342
676
tunauza (mimi na rafiki angu namsaidia kuuza) nyumba! haina matatizo unatoa pesa leo unapewa nyumba yako hapo hapo karibuni sana!!!
 
hujasema eneo gani,kiasi gani,picha ya nyumba una hati ya kiwanja au?naona watoto wameingia jf
 
Tangazo limekaa ki Comedy mno. Ebu omba mtu akusaidie au angalia mtu aliyewahi kutoa tangazo kama lako uangalizie othewise unapoteza muda wa watu!
 
kweli weye wa ki- feis buku feis buku! Eti "unatoa pesa leo unapewa nyumba yako hapo hapo"! ama kweli....
 
Duh feisi buku mwanzoni nimestuka kusoma ww na rafiki yako mnauza, pumzi imetulia baada ya kugundua kuwa ni nyumba
 
Kule facebook demu unamjua leo mchana,
Usiku tayari ushamaliza mambo.
Huyu anafikiri na hapa hivyohivyo!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom