Nauza Zulia Used limetumika mwaka mmoja

Loly

JF-Expert Member
Mar 10, 2011
522
221
Nauza Zulia 80,000. Lina ukubwa wa urefu mita4 na upana mita3 ni Yale mazulia yakupima Maua yake ni draft lina rangi ya kaki, nimelitumia mwaka1 sasa, nimeshindwa kuupload picha mnisamehee
 
Upo Mkoa Gani na Unataka mnunu awe mkoa upi.. Na kwa nini unaliuza wewe ni Ke au Me, Vipi ulishawahi kulifanyia uzinzi ? Watu wasije nunua mikosi bure..
 
1. umewah kufanya matusi juu yake?
2. mtoto amewah kojolea
3. umewah dondoshea kitu chochote toka mwilini kama jasho,maji,machozi,damu n.k?

elezea hayo yote mama...ili mnunuzi ajue kwanza. ili kama inabdi kuliombe likaombewe kwanza au kusafishwa kwa JIK kabla halijaanza kutumika.
 
Nauza Zulia 80,000. Lina ukubwa wa urefu mita4 na upana mita3 ni Yale mazulia yakupima Maua yake ni draft lina rangi ya kaki, nimelitumia mwaka1 sasa, nimeshindwa kuupload picha mnisamehee
Nalihitaji,nawasiliana vipi na wewe mkuu?
 
Back
Top Bottom