Nauza vocha za viwanja vya Gezaulole.

Nauza vocha za viwanja vya Gezaulole.

Ba Brio

Member
Joined
Mar 19, 2012
Posts
78
Reaction score
37
Ninazo vocha mbili moja 1400sqm na ingine 2100sqm. Viwanja vya mradi Geza block 24. Unanilipa commission yangu wewe unaenda kulipia manispaa.

Maelezo na maswali zaidi yatapatikana pm ambako nitakupatia namba ya simu tuongee.

karibu.
 
Weka bei za vocha na commision yako hapa faster tuangalie
 
Mkuu mradi wa viwanja Gezaulole si ulishafungwa toka mwanzoni mwa mwaka huu?,au ni Gezaulole ipi hiyo?.
 
Back
Top Bottom