Nauza vitu vyangu vya ndani

Nauza vitu vyangu vya ndani

naomba usikiuze me ntakichukua nadhan baada ya krismas jumatano hivi, je nikifate au utakileta? nipo serious wala co mtu wa utani mm
Kifuate kimara korogwe mkuu,kukuletea kwasasa ni ngumu aisee
 
hapa sioni wanunuzi kwa jinsi maswali yanayoulizwa,,muuzaji anasema amehamishiwa kikazi mkoa mwingine,,,lakin mtu mwingine anauliza kwanini unauza,,yaani swali juu ya swali
 
haupo "siriazi" wewe
Mkuu me kitanda na kochi hapo 350000 mkuu
View attachment 449904View attachment 449905
Dstv decorder ni Tsh 60,000 View attachment 449906View attachment 449907
Friji ndogo samsung Tsh 250,000View attachment 449908Mtungi wa gas+jiko lake na meza yake ni 100,000TshView attachment 449909Meza ya TV ni Tsh 120,000View attachment 449910Kitanda na godoro lake (5 kwa 6) ni Tsh 250,000View attachment 449911Makochi mawili (kubwa moja la watu wawili na dogo moja la mtu mmoja) Tsh120,000.
Karibuni wakuu.

Vitu vipo kimara korogwe kwa mama mzaire.
Mawasiliano ni 0625567408
 
Nimeona umeandika unauza vitu vyako vya ndani mi nikadhani ni figo maini na kongosho zako, kumbe ni vifaa vya matumizi ya nyumbani.
 
Sorry Mkuu unahama au Athari za Magu wa chato?
Kati ya watu ninaowaheshimu JF wewe ni mmoja wao,nilikukuta JF...kutokana na maelezo niliyoyatoa hapo juu sikutegemea mkongwe wa JF uulize swali kama mtoto wa form six aliyezoea mambo ya instagram
 
Tv haiuzwi.....kilichobaki ni stand ya Tv,kitanda 5 kwa 6 na godoro lake.
 
Meza ya Tv bado ipo
1482673651469.jpg

Kitanda 5 kwa 6 pamoja na godoro lake ni 250,0000.

Kitanda peke yake ni 160,000.
1482673711532.jpg

1482673852193.jpg
Hiki ni kitanda kidogo 4 kwa 5 pamoja na godoro lake ni 210,000 ,kitanda peke yake ni 140,000
1482673866928.jpg
 
Nimekuja mbio nikajua unauza utumbo, maini, filigisi, figo n.k maana ndo vitu vyako vya ndani....kumbe furniture dah
Na mimi pia nilidhani nguo za ndani, niangalie g thongs basi niburudike.
 
hapa sioni wanunuzi kwa jinsi maswali yanayoulizwa,,muuzaji anasema amehamishiwa kikazi mkoa mwingine,,,lakin mtu mwingine anauliza kwanini unauza,,yaani swali juu ya swali
Hao walihamia dodoma wana beba mpaka njiti za vibiriti, sasa huyu anajitia eti mkoa mwingine huko huko TZ, Inamaana huko aendako ndio anapata bora zaidi au anaenda kuishi camp kwenye mahema?
 
Mkuu kitanda mkuu nieleweshe namna ya kufika kitanda na godoro nmevipenda 230000 huchukui nipate hata nauli
Mkuu unashukia kituo korogwe ,unapanda bajaji ya kwenda kwa mama mzaire kwa nauli ni 500 tu,bei haipungui mkuu.......nielewe mkuu ni kitanda kizuri sana
 
Habari ndugu zangu,nimepata kazi mkoa flani,hivyo nauza vitu vyangu vya ndani kama ifuatavyo..View attachment 449881
Friji ndogo aina ya samsung 250,000/=View attachment 449884
Makochi mawili(moja la watu wawili,moja la mtu mmoja)...yote mawili ni 130,000/=vitu ipo DSM Kimara Korogwe kwa mama mzaire.

Mawasiliano ni 0625567408
unamaanisha hapo unapokaa umeshawatangazia kama ulivotutangazia sisi wakashindwa....hiyo bei ni ya chini sana ukiwatangazia hapo mtaani haifiki jioni..
 
Mkuu unashukia kituo korogwe ,unapanda bajaji ya kwenda kwa mama mzaire kwa nauli ni 500 tu,bei haipungui mkuu.......nielewe mkuu ni kitanda kizuri sana
Godoro lina Muda gani kiongozi me nataka full hapo sorry kwa usumbufu ila na mimi naepuka usumbufu kuja hadi huko
 
Godoro lina Muda gani kiongozi me nataka full hapo sorry kwa usumbufu ila na mimi naepuka usumbufu kuja hadi huko
Mkuu godoro bado ni zuri sana lina mwaka mmoja tu na ni tanfoam brand
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom