Nauza vitu vyangu vya ndani

Nauza vitu vyangu vya ndani

Mkuu unahamia mkoa gani!? Maana siku hizi kuna fuso nyingi tu zinaenda mikoan empty kubeba mizigo, ungetafuta zikusafirishie kuliko kuuza.
Ni mbali sana mkuu,karibia na kongo
 
Habari ndugu zangu,vifuatavyo vimeshanunuliwa.....
1.
1482654237192.jpg
Friji.
2.
1482654270739.jpg
Jiko na mtungi wake
3.
1482654358141.jpg
Dstv decorder

Vilivyosalia ni
1.
1482654448161.jpg
Meza ya Tv
2.
1482654482764.jpg
Kitanda.
3.
1482654586416.jpg
Makochi mawili

Karibuni,kwa mawasiliano zaidi piga simu kupitia no. 0625567408
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom