Nauza vitu vyangu vya ndani

Nauza vitu vyangu vya ndani

Hiyo TV vipi haipo soon mkuu? Me nataka hiyo meza ya TV na TV whatsap me 0763772636 tuyajenge
 
View attachment 449904View attachment 449905
Dstv decorder ni Tsh 60,000 View attachment 449906View attachment 449907
Friji ndogo samsung Tsh 250,000View attachment 449908Mtungi wa gas+jiko lake na meza yake ni 100,000TshView attachment 449909Meza ya TV ni Tsh 120,000View attachment 449910Kitanda na godoro lake (5 kwa 6) ni Tsh 250,000View attachment 449911Makochi mawili (kubwa moja la watu wawili na dogo moja la mtu mmoja) Tsh120,000.
Karibuni wakuu.

Vitu vipo kimara korogwe kwa mama mzaire.
Mawasiliano ni 0625567408
Nikupe mia hamsin,,kama haina tatizo
 
Nimekuja mbio nikajua unauza utumbo, maini, filigisi, figo n.k maana ndo vitu vyako vya ndani....kumbe furniture dah
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom