Nauza vitu vyangu vya ndani

Nauza vitu vyangu vya ndani

Kweli imevamiwa ona kama haka katoto kamekuja kuuza picha ya friji humu jf.
siku nyingine katandaze barabarani machinga wenzio wako barabarani wanauza hadi picha za marais wa Afrika, na wachezaji wa mpira.
Unalala kwa wazazi,kuwadharau machinga ni dalili tosha....hujui stages za struggle za maisha..
 
Unalala kwa wazazi,kuwadharau machinga ni dalili tosha....hujui stages za struggle za maisha..
Endelea kuuza picha zako mkuu usije swekwa ndani na mdai wako maana deadline ilikuwa leo saa nane.
Kwa ushauri tu tafuta namna nyingine kwani hakuna atakaenunua picha kama hizo ulizotubandikia humu. pole sana ndo ukubwa lakini jaribu kujituma katika kazi zingine na si kuuza picha.
 
Endelea kuuza picha zako mkuu usije swekwa ndani na mdai wako maana deadline ilikuwa leo saa nane.
Kwa ushauri tu tafuta namna nyingine kwani hakuna atakaenunua picha kama hizo ulizotubandikia humu. pole sana ndo ukubwa lakini jaribu kujituma katika kazi zingine na si kuuza picha.
Sibishanagi na watoto kama nyie...
 
Vilivyobaki mpaka sasa ni hivi:-
1482729144814.png
kitanda 5 kwa 6 pamoja na godoro lakeTsh 240,000,kitanda peke yake ni Tsh 160,000
1482729301441.jpg
Kitanda cha 4 kwa 6 pamoja na godoro lake ni 1
210,000...Kitanda peke yake ni Tsh 140,000
1482729451134.jpg
Meza ya Tv ni Tsh 120,000
Karibuni ndugu zangu.
 
Habari ndugu zangu,nimepata kazi mkoa flani,hivyo nauza vitu vyangu vya ndani kama ifuatavyo..View attachment 449881
Friji ndogo aina ya samsung 250,000/=View attachment 449884
Makochi mawili(moja la watu wawili,moja la mtu mmoja)...yote mawili ni 130,000/=vitu ipo DSM Kimara Korogwe kwa mama mzaire.

Mawasiliano ni 0625567408


Ahaaaaa, kumbe ni hivi? Mi nilifiki ni chupi na vingine vya ndani.
 
Nikija na hela naondoka na mali yangu nikikupa chako me nna shida na kitanda na godoro nmevipenda hiko kitanda kikubwa
 
Kati ya watu ninaowaheshimu JF wewe ni mmoja wao,nilikukuta JF...kutokana na maelezo niliyoyatoa hapo juu sikutegemea mkongwe wa JF uulize swali kama mtoto wa form six aliyezoea mambo ya instagram
Mkuu kuna mtu alikuwa naye anauza vitu vya ndani akanieleza kwamba anahamia Dodoma lakini baada kama ya mwezi hivi nikaja kujua kumbe maisha yalimshinda Bongo akakimbilia USA kubeba box,so aliuza vitu vyote akapata nauli ya kwenda USA.
 
Bulk sms service Distributor and retail service.
Kwa wajasiliamali wa matangazo kwa njia ya mtandao, natoa huduma ya msg kwa bei ya jumla. Pia kwa wanaohitaj huduma ya kutangaziwa biashara zao kwa uharaka kufahamika nawakaribisha. Kwa wasiojua huduma hii, ni mbadala wa kujitangaza gazetini, redioni na ktk tv.faida ya huduma hii ni kwamba mteja hupata msg ya tangazo ktk Simu yake.pia jina la ofisi yako linatokea kwa mteja badala ya namba ya Simu apokeapo msg. Mfano ni kama msg za mabenki.
Kwa masawiliano nitafute :0621 00 80 55. Bei zangu ni nafuu sana

Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom