Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 51,006
- 72,298
Unaonekana msafiii hongeraUtoto unakusumbua sana,jitathimini kijana....
Unaonekana msafiii hongeraUtoto unakusumbua sana,jitathimini kijana....
Watu mnadharau!!!Wee ni doctor wa mbwa mkuu? kula laki moja vyote
Watu mnadharau!!!Wee ni doctor wa mbwa mkuu? kula laki moja vyote
Mkuu, kitanda,meza ya Tv,makochi....kwako hivyo ni vyombo vya jikoni?!Nimekuja mbio huku nikijiapiza kuwa "kama atakuwa jinsi ya KE huyu muuza vitu vyake vya ndani namnunulia kitu chake cha ndani kwa bei yoyote", daaah kumbe wewe hukuwa na maana ya vile vitu nilivyoelewa mimi-basi badili tittle na iwe vyombo vya jikoni
Mkuu kwanini husomi uzi wote ukaona update? Soma uzi mkuu acha uvivuNipe hizo kochi kwa 100! Bt nipo dom
Soma update za uzi mkuu...Nimeshaeleza hapo juu vimeshachukuliwa nduguMi nataka TV na frigde mkuu
JF imevamiwa sana na vijana wa Instagram,hawa wote unaowaona wanaleta dharau na utani wanaishi kwa wazazi wao,kula kulala na kunya ndio wajuacho...JF ya siku hizi inasikitisha sana....Watu mnadharau!!!
Haya mamidoli ni ya mwanangu bana...anayapenda sana siwezi kuyauzaMi niuzie huyo mdoli
Ela ya udalali? So ww ni dalali au kunadalali mwingine?Thanks ndugu,pia inapangishwa mkuu kama unataka nicheki nikupe hii nyumba kwa kupanga....ina vyumba viwili(kimoja ni self a kingine sio self) sebure iko poa,choo cha public kipo nje.,nyumba ipo kwenye fensi na pembeni kuna gorofa ndogo anakaa mwenye nyumba hana shida na yeye hana familia kubwa,mpangaji anatakiwa kuwa na familia ndogo pia asiwe mtu wa kurudi usiku saaana kila mara na asiwe mlevi au msumbufu,kodi ni 210,000@mwezi,kodi yakuanzia ni ya miezi sita+ela ya udalali 210,000.
Nyumba ina mita/luku yake yakujitegemea,pia maji yapo 24/7 .
Kuna eneo kubwa la parking,mazingira tulivu saaaana.
Kutoka ilipo nyumba mpaka kituo cha mwendo kasi ni kwa bajaji moja tu na bajaji zinapatikana muda wote hadi usiku saa 6.
Usalama niwauhakika..
Karibu sana mkuu na kwa mtu yeyotr anayetaka.
Nyumba nimeshaikabidhi kwa dalali ndugu,mimi sio dalali ....Ela ya udalali? So ww ni dalali au kunadalali mwingine?
Kweli imevamiwa ona kama haka katoto kamekuja kuuza picha ya friji humu jf.JF imevamiwa sana na vijana wa Instagram,hawa wote unaowaona wanaleta dharau na utani wanaishi kwa wazazi wao,kula kulala na kunya ndio wajuacho...JF ya siku hizi inasikitisha sana....