stephot
JF-Expert Member
- Mar 1, 2012
- 15,834
- 22,946
Nauza uyoga uliokaushwa,uko katika packet za gram 50 na gram 25,well packed,ni mtamu na umetengenezwa kutaalamu na bei yake ni nafuu.Mwenye kuhitaji anitumie PM ili nimuelekeze napatikana wapi katika jiji la Dar es salaam na kama kuna atakayehitaji mwingi na atakuwa karibu na eneo ninakoishi nitamletea mpaka alipo,karibuni.