Nauza ticket ya ndege Dar - Kili - Dar

acacia7114

Member
May 25, 2013
7
2
Wakuu!

Juz juz nilikata ya FastJet toka Dar kwenda Kili na Kurudi ya kusafiri siku ya kesho asubuhi tarehe 03.07.2014 ila kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu nimecancel safari hiyo na sitarajii kwenda Kili hiv karibuni.
Nimeenda ofisi zao hapa Dar, hawataki ku cancel my trip ila wanaruhusu ku change trip na uwalipe changing fee $ 45.
Sipo tayari kufanya hvyo kwani kutokana na majukumu yangu sitaweza kuondoka.
Kwa hiyo ndugu zangu mwenye hitaji hilo tutafutane kuliko kupoteza ticket hii iende bure.


Nilinunua 90,000/- nikipata mtu anirudishie io pesa ni vyema. Otherwise imekula kwangu
 
kaka naomba nikutaarifu kwa hii namba yan ukiona anataka kununua then better ujihadhar mana jamaa alintapeli while nilimpa tiket ya fastjet from mwanza 2 dar
0753530980
 
Brother kila cha rahisi kina gharama, Mzigo ukiongeza kilo ulipie, kubadili tarehe ya safari ulipie, vinywaji ulipie, ila kubadili umiliki wa ticket haurusiwi kabisa, bora ATCL ukikata ticket huna stress unasafiri tarehe unayotaka wewe na kuchange ticket ni bureeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee? sasa msilalamike yanapowakuta?
 
Kuuza tkt ni ngumu fastjet, labda utumie ujanja wa ku fake ID card with the same name, issue ingine ni jinsia, kama ni tkt ya Mwanaume ni ngumu kumpa mdada, maana kuna initials kama Mr/ Miss/ Mrs etc...
Jaribu kupata travel agent mwenye mteja wa kesho Kili anaweza akakufever ila ki ufupi ni ngumu!
 
Back
Top Bottom