Nauza ticket nliyipia ya fast-jet 04 Jul na kurudi 07 July Kilimanjaro

Status
Not open for further replies.

kizi57

Member
Jul 27, 2011
30
6
Wadau

Mim ni mjasiriamali nna ticket tajwa 2 za watu wazima 1 mtoto mchanga, pia nililipia mizigo ya kwenda safari ya kwenda na kurudi Kilimanjaro Airport

Safari nime cancel, nachohitaji ni refund. Bei nlio nunulia ni 232,000/- pamoja na kodi.

Kuna uwezekano wa kununua ticket mojawapo Kwa nusu bei!

FastJet said:
ONYO

fastjet Airlines Limited, imesikitishwa sana na kitendo cha watu kuuza tiketi kwa njia ambayo si sahihi. Utaratibu wa fastjet uko wazi na unaeleza kwamba tiketi ikishanunuliwa haitaweza kubadilishwa jina ama kuuzwa kwa mtu ambaye si mmiliki wa tiketi hiyo. Kwahiyo basi tunatoa Onyo kali kwa huyu aliyeweka tangazo hili na kwa watu wote ambao wanajihusisha na uuzaji wa tiketi ili watu wasafiri kwa majina ambayo si yao. Endapo utafanya hivyo tutakukamta na hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi yako. Tunawaomba wateja wetu wote muwe makini na msinunue tiketi ambazo hazina majina yenu hii ni muhimu sana na ni kwaajili yako na sababu za kiusalama.
 
Haiwezekani kwa sababu hazibadilishwi jina, imekula kwako hiyo!

Unaweza kumuelekeza bila kutumia neno " Imekula kwako",hizi ni dalili za ushambenga,umbea na ushakunaku!!!
Back to Topic:Tiketi mkuu hazibadilishwi,fastjet hawakubali....ukitazama Terms and Conditions ktk hiyo tiketi utagundua hilo
 
Mimi naweza nikamuuzia mtu mwingine kwaio la muhimu ni muhitaji, mjini hapa! Kila kitu kinawezekana! Anayejitaji anitafute nimuuzie ticket ya tarehe hizo!
 
Mimi naweza nikamuuzia mtu mwingine kwaio la muhimu ni muhitaji, mjini hapa! Kila kitu kinawezekana! Anayejitaji anitafute nimuuzie ticket ya tarehe hizo!

"Sure" Mangi hakuna kisichowezekana lakini inaweza ikaku-cost zaidi. Sasa watakuwa wana - search mtu mwenye scenario kama yako katka dbase yao na watakuwa wanoko kweli siku hiyo wakiwa na detail zako, siku nyingine we tangaza kuuza bali danganya mwezi ili uweze ku- maneuver kidogo sasa ume mwanga kuku kwenye mtama. Kuna jamaa yao humu ni mnoko kweli utafikiri siyo mbongo mwenzetu!
 
Ni kweli kabisa Kamanda, lakini hela ipotee hivi hivi so afadhali irudi walau nusu gharama
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom