dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,831
- 20,342
- Thread starter
- #241
[emoji14] [emoji14]Sanaa tena mauzo yko lazima yaongezeke
Hapo chacha kampeni zako moto moto[emoji91] kwakwel
[emoji14] [emoji14]Sanaa tena mauzo yko lazima yaongezeke
Poa!! Utazikuta captainNdio ndio mbaba
Ni hiviii[emoji91] [emoji91] mkuu hutajuta. Ukichanganya na huu mvuto mzigo 2days umeisha[emoji14] [emoji14]
Hapo chacha kampeni zako moto moto[emoji91] kwakwel
[emoji1] [emoji1] aisee hata mim naona hapo kwel, kama usaili umepita kwa kishindoNi hiviii[emoji91] [emoji91] mkuu hutajuta. Ukichanganya na huu mvuto mzigo 2days umeisha
Sawa mzee wa lumumba wewe hata ungenunua million 1Neno Original naona Limeingiliwa na wahuni Mimi Kadeti zangu nanunua
Tsh. 115,000/= hadi Tsh. 126,000/= Pale Woolworth na Springfield hizi fua Ufuavyo hazijuji Kizembe , sasa nashangaa mtu anasema kadet Original Sh. 23,000/= hii Ukiloweka kwenye maji kama ni nyeusi maji yatabadilika na Kuwa meusi inavyochuja.
Naomba niwe mteja wakoNaomba niwe muuzaji wako[emoji85]
Akinipa kaz ya uuzaji ntakwambia uje ununueNaomba niwe mteja wako
Nasubiri kwa hamu kuwa mteja wako wa kwanzaAkinipa kaz ya uuzaji ntakwambia uje ununue
Akipeleka Dutwa nishitue maana mie nipo Ngasamo nataka nisogee hapo mnada wa Jtano
Sio mtumba kamandaZa Mtumba ?
Kumbe ni Alhamis..nilishasahau mkuuMnada ni cku ha Alhamis mkuu