dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,802
- 20,296
- Thread starter
- #221
Sio za kupauka!! KabisaaMkuu kama sio zile za kupauka nahtaji tano kesho mchana kwa 20,000/=@
Rangi tofauti kiuno 36
Upo wap?,mr nichek watsApp
Sio za kupauka!! KabisaaMkuu kama sio zile za kupauka nahtaji tano kesho mchana kwa 20,000/=@
Rangi tofauti kiuno 36
hupatikani kwa simu yako.Sio za kupauka!! Kabisaa
Upo wap?,mr nichek watsApp
Naam...ipo mr.Nyeusi Ipo?
Naomba niwe muuzaji wakoNaam...ipo mr.

Labda mtandao ila,hupatikani kwa simu yako.
Ngoja na mm nkuchekiSio za kupauka!! Kabisaa
Upo wap?,mr nichek watsApp
Heheheh!! Umeibukia huku sasa, utaweza wwNaomba niwe muuzaji wako![]()
Karibu sana mpendwa!!!!Ngoja na mm nkucheki
Naweza sanaaaHeheheh!! Umeibukia huku sasa, utaweza ww
Hilo sio tatizo ila.......Naweza sanaaa
Huna size 33 au 32.?Kama Hiyovip?
Ila nn???Hilo sio tatizo ila.......
Size 32, kimsingi ninazopata zina enda kwa series hii mfano:- 30,32,34,36,38,40... hata jana kuna mtu nimemuuzia 32 ikamfit safi tuHuna size 33 au 32.?
Ok niwekee 32 tatu nakuja juma5 kama nilivyokuambiaSize 32, kimsingi ninazopata zina enda kwa series hii mfano:- 30,32,34,36,38,40... hata jana kuna mtu nimemuuzia 32 ikamfit safi tu
Unaweza kumshawish mteja kweli,?Ila nn???
Sawa!!! Comrade,Ok niwekee 32 tatu nakuja juma5 kama nilivyokuambia
Sanaa tena mauzo yko lazima yaongezekeUnaweza kumshawish mteja kweli,?
Pole sana kuvaa nguo ya mtumba unaona ufahari, maskini wee! nilini utajimbua wewe !!?hahahahaja nimecheka sana. wasukuma na nguo za dukani![]()
Ndio ndio mbabaSawa!!! Comrade,
ziwe aina tofauti tofauti au sio