Nauza suruali za kadeti

Nauza suruali za kadeti

Hivi kwanini hamuuzagi kadet za maana kama CHINO zile zinazopatikana maduka kama woolweath?
 
Hiyo aina siijui na sijawahi uliziwa ila uzuri wa kadet sio jina kwa upande wangu
Nenda ukaziangalie mr price. Kuna kadet imara bei inaanzia 60000 hadi 90000. Zinauzwa sana kwenye maduka ya wasauzi kama vile edgar, woolweath n.k
 
Nenda ukaziangalie mr price. Kuna kadet imara bei inaanzia 60000 hadi 90000. Zinauzwa sana kwenye maduka ya wasauzi kama vile edgar, woolweath n.k
Bei ya 23000 kuna watu wanalalamika kubwa hiyo 60k si zitanidodea kamanda naangalia na wateja wangu mifuko yao
 
Kama hazipauki nitafutie namba 40, pc 5 ila usiweke rangi nyekundu, beige, kijani. kwa bei ya sh 20,000.
 
Miji ya wasukuma kama kahama, ushirombo, katoro, dutwa, nk. Huko kote kuna minada karibia kila wiki ukienda huko unauza tena kwa bei mara mbili ya unayouza sasa wasukuma wanapenda sana hayo mambo tena upeleke nyingi za kufanana wanapenda wavae zinazofanana mtaani

Sent using Jamii Forums mobile app
Akipeleka Dutwa nishitue maana mie nipo Ngasamo nataka nisogee hapo mnada wa Jtano
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom