Nauza suruali za kadeti

Nauza suruali za kadeti

Una deliver kuanzia PC ngapi kwa dar? Gharama za usafiri si juu yako?
Wewe upo wap? Kwanza na ishu ya kudeliver naleta psc zozote utakazo kua unahitaji
Na kuhusu usafiri ni juu ukiwa dar
 
20180104_114157.jpeg
 
Hizi kadet ni zile 'flat' au ni zile mnaita 'modo'..?!
Jibu tafadhali, nataka nijilipue.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom