dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,831
- 20,343
- Thread starter
- #121
Karibu, nichek hapa watsApp comrade
Karibu, nichek hapa watsApp comrade
Asante. !! Hilo nalifanyia kazi, ado ado tutafika comradeMkuu ungeongeza hapo na Shati za ijanja na viatu vyake ungepiga sana hela aisee
unataka aina gan captain
[emoji115] [emoji116] umenichanganya kamanda ujue, kadeti suti full& hapo juu mikono mifupi
Nakuhakikishia hazipauki , wala kuchuja asilimia[emoji817]Vp kuhusu kuchuja au kupauka
Vp Nikikuletea Nyeusi
Yeah zipo captain!! Kama hiiUna za kitambaa? Kuchomekea