dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,802
- 20,296
- Thread starter
- #201
Usifananishe zile za kichina na hizi aisee wewe kama kama una vaa hizo vaa hizi sio za kichina na nilio wauzia wanajua tofauti zakeHizo kariakoo zimejaa buku10 tuu
Usifananishe zile za kichina na hizi aisee wewe kama kama una vaa hizo vaa hizi sio za kichina na nilio wauzia wanajua tofauti zakeHizo kariakoo zimejaa buku10 tuu
Sina za kike zote nazo uza za kiumeKadeti ya kike unayo? Rangi gani? Nahitaji nko moshi
Hahahah..! Eti siyo za kichina unachekesha kweli zako umezitoa ujerumani eti???Usifananishe zile za kichina na hizi aisee wewe kama kama una vaa hizo vaa hizi sio za kichina na nilio wauzia wanajua tofauti zake
Naam...!!Karibu comradeHuu ndo ugonjwa wangu aiseeH.. Ngoja nivunje kibubu... Maana MasMas ndo hyo inadrop
Zipo size gan unavaa??Nyeusi zipo??
Tulia tu, Tatizo ujawah nunua kwangu ndio mana hujui nauza bidhaa ina viwango ganHahahah..! Eti siyo za kichina unachekesha kweli zako umezitoa ujerumani eti???
38 chini 13Zipo size gan unavaa??
Ok, upo wapi??? Mr38 chini 13
Mimi kadeti hizi za sampuli hii sijui huwa nazionaje kadet unaifua siku mbili imefubaa, kuna duka nachukuaga kadeti pale kino aisehhh sijawahi jutia, nilichukua kadeti black tangu mwaka jana mpaka sasa hata kufubaa haijafubaa na bei yake ni ilikua 70 sio mchezo.Hivi kwanini hamuuzagi kadet za maana kama CHINO zile zinazopatikana maduka kama woolweath?
Halafu moshi nguo bado sana, yani moshi ukifungua duka la nguo unatakiwa uchukue mzigo classic watu wote wahamie kwakoKadeti ya kike unayo? Rangi gani? Nahitaji nko moshi
Hahahhahaha wanawake wengi huwa mnavutiwa sana na wanaume wavaa kadeti etimhh kadeti hzi za kijanja mkuu!nampenda mwanaume anaevaa kadeti!hizi sio za minadani!manguo ya kisukuma yanajulikana unaweza kukaukiwa koo ukiziona
Mchango wako haukuwa na haja ...kwani ni lazima uchangie kila kitu???Mimi kadeti hizi za sampuli hii sijui huwa nazionaje kadet unaifua siku mbili imefubaa, kuna duka nachukuaga kadeti pale kino aisehhh sijawahi jutia, nilichukua kadeti black tangu mwaka jana mpaka sasa hata kufubaa haijafubaa na bei yake ni ilikua 70 sio mchezo
.
Ficha ujinga wako, maana ni dhahiri una ukakasi kwenye mitazamo.... Nisichangie kisa nini? matumizi yangu ya mtandao yanakuumizaje wakati huchangii hata centMchango wako haukuwa na haja ...kwani ni lazima uchangie kila kitu???
Woolworths?Hivi kwanini hamuuzagi kadet za maana kama CHINO zile zinazopatikana maduka kama woolweath?
Kama HiyoNiko mjini sasa juma5 tutaftane sasa ya week ijayo nikimaliza mizunguko ya familia sasa nije nichukue uzi wangu hapo kwako
vip?Niko mjini sasa juma5 tutaftane sasa ya week ijayo nikimaliza mizunguko ya familia sasa nije nichukue uzi wangu hapo kwako
poa kamanda karibu![]()