Phone4Sale Nauza simu yangu Infinix note 12, nimekwama

Chai
 
Nani anayekujua humu JF?

Hakuna member yeyote wa JF asiyenifahamu.

Sasa mimi na wewe nani anampa airtime mwenzake?

Mwanamke mzima laki 1 inakushinda πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mkuu Kuna wakati inabidi uheshimu wengine Kama vile ulivyo na addicted na siasa Kuna wengine hawapo hivyo ni sehemu ya demokrasia inakupaswa uheshimu hilo
 
A bwana ee, usitutege ukapata mawasiliano yetu kisha tupotezwe. Watu wa system mnakujaga na mikwara hii. Hatutegeki ng'oooo. Anyway pole sana.
🀣🀣🀣🀣 Unajikita Mwanaharakati halafu muogaa

Asante mkuu Mimi siko huko
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…