Phone4Sale Nauza simu yangu Infinix note 12, nimekwama

Sister Abigail umenikera uliposema siasa haukuhusu,ungekua active citizen na ukaengage vizuri kwenye siasa pengine tungepata mabadiliko na huu ugonjwa ungetibiwa bure bila kuuza hii kitu yako.
Acha jeuri kua siasa haukuhusu,siasa ni maisha yako
Change or perish.

Haya unaumwa nini mkuu hebu tuelezee hapa na uweke namba tutume hizi bukubuku zetu hapa Kkoo
 
Tuko pamoja
 
Njia mpya ya kudanga hii
Kama huwezi kuji heshimu, basi heshimu wengine kwa nafasi zao

Huyu dada ana fahamika kwa kuwa alisha wahi kuandika uzi wa mahitaji maalumu, hata kama asinge andika sija ona sehemu aki nadi kuuza hicho unacho kisema.

kama kwenu wana danga, haimaanishi nae ni kundi hilo.
 
Sina wa kuniletea ugali lupango mkuu
Hayo nawaachia nyie
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…