Phone4Sale Nauza simu aina ya Samsung A04 used

Phone4Sale Nauza simu aina ya Samsung A04 used

Searching for the truth

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2022
Posts
902
Reaction score
1,897
Habari wana jf.

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,

👉 Aina ya simu ni SAMSUNG A 04 ya rangi nyeusi, nilinunua mwezi wa 5 mwaka huu.

👉 Haina cracks wala faults yeyote ni nzima kabisa isipokuwa tu haisomi earphones na badala yake huwa natumia earpod za ku-connect na bluetooth.

👉 Specification zake ni RAM 4 GB, Internal storage ni 64 GB, main camera ni 50 mega pixel, uwezo wa kukaa na charge ni uhakika mAh 5000, Android version yake ni 13.

👉 Kila kitu nilichonunua nacho kipo ukitaka hadi box lake nakupa

👉 Picha niliyo ambatanisha nayo nime down load tu kwa sababu nimekosa simu ya kuipiga picha hii, lakini mwonekano wake ndiyo huo haina tofauti hata kidogo.

👉 Location : Napatikana nje kidogo ya jiji la Dar maeneo ya Kibamba, but kama ukiitaka na uko mkoani naweza kukutumia kwa uaminifu kabisa ila kwa gharama zako mwenyewe.

👉 Bei ya simu ni chee kabisa,ni laki mbili na nusu (250,000/=) pesa za kitanzania.

👉 Sababu ya kuiuza ni kwamba nataka ninunue version nyingine ya sumsung hizi zimenichosha 😀 ila siyo kwamba simu ina shida yeyote ya kiutendaji

👉 Kwa mawasiliano zaidi nipie au ni sms what'sapp numba hiyo hapo 0766 084 171
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom