Nauza samsung galaxy note 8plus 64gb tsh 290,000/= tu

Nauza samsung galaxy note 8plus 64gb tsh 290,000/= tu

bei ikiwa rahisi sana huwa inatia mashaka.. hata kigari vitz tu ukiambiwa unauziwa kwa laki 5 lazima machale yakucheze
Ni kweli usemalo lkn ningeweka bei zaid ya hapo nicngepata ata wakucoments tu.Lkn c mbaya kwasababu bihashara ni maelewano na kuridhia uwez nunua ktu bila kukikagua
 
Kuna mtu alileta A8 plus humu, akataka apige watu kwa bei ya juu, nadhan mnakumbuka, nilimpa fact zaid ya 20 kutoka kwenye picha kuonesha kama ni fake , alinifuata mpk PM mwishowe akafuta picha zote, uzuri wewe unauza kwa bei ya clone, leo sitii neno
 
Kwa kifupi mzee baba umepigwa hiyo kitu, hilo ni copiiiii kabisaaa. Ushauri wangu, tafuta mwalimu muuzie mana wao wapo wapo tu, hata hawaelewi dunia inaendaje
 
Samsung galaxy note 8plus 64gb android version 7.0 ipo poa imetumika mwez mmoja tu nnashida na pesa naiuza Tsh 290,000/=Tu.Dukani ni zaidi ya Tsh 800,000/=Napatikana kihonda Morogoro 0688884385View attachment 951253View attachment 951254View attachment 951257View attachment 951253View attachment 951254View attachment 951257
Hakuna note 8 plus kuna note 8 inayojulikana duniani hiyo ni copy hata muonekano
images.jpeg
 
Ahahahahaha

We jamaa una dhambii...!!

Simu la kichina hilo unataka kumbambikiza nani??

Walah labda ukawauzie wakoromije
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom