Nauza samsung galaxy note 8plus 64gb tsh 290,000/= tu

Old pirate

Member
Joined
Nov 20, 2018
Posts
28
Reaction score
24
Samsung galaxy note 8plus 64gb android version 7.0 ipo poa imetumika mwez mmoja tu nnashida na pesa naiuza Tsh 290,000/=Tu.Dukani ni zaidi ya Tsh 800,000/=Napatikana kihonda Morogoro 0688884385
IMG_20181119_132035.jpg
IMG_20181119_132208.jpg
IMG_20181119_131843.jpg
IMG_20181119_132035.jpg
IMG_20181119_132208.jpg
IMG_20181119_131843.jpg
 
Ha ha ha ha ha naheshimu biashara yako ila nafikr ulitakiwa kuongeza na neno Clone kuweka uhalisia zaid
Kama anajua maana ya clone relevancy to his phone nitag Bw. Bonny....290000 😂😂
 
bei ikiwa rahisi sana huwa inatia mashaka.. hata kigari vitz tu ukiambiwa unauziwa kwa laki 5 lazima machale yakucheze
 
Kama anajua maana ya clone relevancy to his phone nitag Bw. Bonny....290000 😂😂
Wakuu shida ni bei iliyowekwa au? Tambua c kila anaeuza kitu ni kwasabab kapenda kunamatatizo yanakaba mpaka koo me mwenyewe naiuza huku roho inaniuma ikitoka nimesolve tatizo ntaghair fasta sana kwa taarifa ni kwamba hyo cm hata ikiwa fake huwez kuipata ata kwa laki4 due its qualifications
 
Dah, aisee! Shida ni bei ndiyo. Halafu, uliwahi kuiona Note 8 plus wapi? Nani aliyerelease hiyo simu na mwaka gani[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom