Nauza samaki sato na kambale wa kufuga bwawani

dansmith

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2013
Posts
2,305
Reaction score
2,097
Kwa wanaitaji samaki sato na kambale wa kufugwa bwani !ni fresh navua siku moja kabla ya kupeleka mzigo (delivery) napatikana dar es salaaam bei Tsh 7000 per kg
Karibuni
 
Dar es salaam katika viunga Vipi Maana wengine tupo nje ya mji kidogo na tuna uhitaji wa hiko kitoweo.
 
Kwa wanaitaji samaki sato na kambale wa kufugwa bwani !ni fresh navua siku moja kabla ya kupeleka mzigo (delivery) napatikana dar es salaaam bei Tsh 7000 per kg
Karibuni

Tangazo lako bado linakasoro mkuu.
Eleza uko wapi kwa mtu anayetaka kununua rejareja mfano kilo 1-2 yaani kitoweo. Sidhani kama italipa kama utafanya delivery kilo moja moja.

Ushauri wangu weka anuani ya mahala unapoweza kuwa unauza mtu afike kununua au minimum order ambayo unaweza kufanya delivery. Pia weka namba za simu uanze kupokea order. Samaki wana soko mkuu.
 
Asante sana mkuu napatikana dar es salaaam !jeti karibu na airport !kuanzia kilo kumi nafanya delivery ndani ya dar es salama .bei nimesema ni Tsh 7000 kwa kg
0676176177
 
Back
Top Bottom