NAUZA RAUM YANGU MPYA 8.8 Milion

shelumwa

JF-Expert Member
Jan 2, 2015
516
189
HOT DEAL , FURSA MOTO MOTO

Gari inauzwa ina vibali vyote na gari mpya kabisa usichanganywe na nambaC gari ilikua inaendeshwa na Mdada

Full vibali haidaiwi chochote

Bei ni 8.8 milioni Tu
Kwa mteja makini na serious tu apige namba hizi
0655731345
0767831345

Gari ipo KIMARA
379b18ddf3ce9333f64e058dac7cae4a.jpg
e6d956e73b9a8abc40104ce91dc454dc.jpg
a5eef8720822c7a5353251fe5939c11b.jpg
3c42d2fa778be4c81047f5a9fd3659f0.jpg
 
Punguza iko cha juu ili ufanye biashara, magari yanayouzwa mikononi ni mengi sana katika kipindi hiki hivyo kufanya bei za bidhaa husika kushuka mno gari uliyonunua mikion25 mwaka jana mwaka huu unauza 15 tena negotiable... Angalia bei ya mwenye Mali we tafuta maji ya kunywa tuu siku iendelee

Sawa asanteh kwa ushauri mkuu
 
Back
Top Bottom