Nauza pumba za mahindi

Nauza pumba za mahindi

Babavos

Senior Member
Joined
Nov 3, 2019
Posts
100
Reaction score
253
Niende mojamoja kwenye mada nina Gunia 100 (KULINGANA NA MTAJI WANGU UKIHITAJI NIKUKUSANYIE PIA SAWA) ya pumba za mahindi nauza kg moja sh 80 niko kanda ya ziwa kwa anayehitaji tufanye biashara tuchekiane PM
 
Kwa bei hiyo inawafaa wa kanda ya ziwa kwa jumla ni kubwa kidogo
 
kama kg 1 ni sh 80, kg 20 ni 1,600/- niko sawa? hizo pumba unaziokota tuu bure au? maana huku nilipo debe moja shs 5000 na hapo ni ujazo sio uzito. it means ile debe ninayouziwa yaweza kuwa kg 15 maana pumba siyo nzito kama mahindi. watu wengine wana raha jamani laiti ningekuwa huko
 
Mkuuu kwani guniq sh ngapi??
Na je gunia Lina kilo ngapi?
Vipi uduvi upo?
 
Niende mojamoja kwenye mada nina Gunia 100 (KULINGANA NA MTAJI WANGU UKIHITAJI NIKUKUSANYIE PIA SAWA) ya pumba za mahindi nauza kg moja sh 80 niko kanda ya ziwa kwa anayehitaji tufanye biashara tuchekiane PM
Mkuu, uko kanda ya ziwa sehemu gani...nahitaji zote hizo.
Malipo n mzigo ukiufikisha nilipo-Shinyanga.
 
Kg 1 sh 80? Nahitaji hizo gunia zote mkuu, malipo zikifika kwangu.
 
Back
Top Bottom