Kwa wale msiotumia pilipili,sasa tumekuletea bidhaa yetu ya Ukwaju sauce... Yani hii ni [emoji91][emoji91]
Kionjo hiki unaweza kukitumia pembeni ya msosi wako kikakupa ladhà ya pekee pia unaweza kutumia ku(marinate) Hapa unachukua Ukwaju sauce yako unamiminia kuku wako au samaki pamoja na viungo vingine....Yani kama unachoma au unakaanga inakuwa [emoji39][emoji39][emoji39] Tamu balaa.. Karibuni sana.
Karibuni sana tumeleta Ukwaju sauce, hiki kionjo sio cha kukikosa' yani kinaongeza ladha kwenye mlo wako[emoji39] [emoji39] . Na kwa wapishi wazuri hii unaweza kutumia katika nyama au samaki mbichi kabla hujakaanga au kuchoma ....ni tamu sana wajameni... toa oder yako tutakuletea popote ulipo na mkoani tunatuma.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.