Ze Heby
JF-Expert Member
- Jun 22, 2011
- 5,795
- 6,443
Mnatuzinguaga tu mavitu kibao feki na yamepitishwa na hao tfda yapo supermarket (artificial zote zina preservatives, etc), sasa huyu kakwambia kabisa kitu natural, na isitoshe ndio anaanza! Soon huo wimbo wa tfda tutaanza kuuskia hadi kwenye maandazi ya mama ntilie! Au kisa kuweka kwenye chupa? Au kuipa jina?
Unaongea nyuma ya keyboard,siku wakikamata bidhaa zake wewe hautokuepo
Hasara itakua kwake
Hivyo ili kufanya biashara yake kwa amani ni vizuri akawa hana mtafaruku na mamlaka
....shukran wakuu kwa kusapport kazi
karibu sana mkuu
