SALUM S HEMED
JF-Expert Member
- Mar 4, 2016
- 1,437
- 1,863
- Thread starter
- #21
DOUBLE YOUR APPETITE
DOUBLE YOUR APPETITENilitaka kuuliza hilo pia.Je,ina kibali cha mamlaka ya chakula na dawa (TFDA)?
Bado mkuu...naomba uje PM tuyajenge nianze hizo processJe,ina kibali cha mamlaka ya chakula na dawa (TFDA)?
Sawa mkuuNilitaka kuuliza hilo pia.
Akishafanikiwa hapo ajitahidi kuisambaza zaidi ili iwafikie watu wengi zaidi.
utapigwa pingu!!!! utawajibika kwa kuvunja sheria za nchi!!!Bado mkuu...naomba uje PM tuyajenge nianze hizo process
utapigwa pingu!!!! utawajibika kwa kuvunja sheria za nchi!!!
sawa mkuuNimependa ulivyokuwa mkweliBado mkuu...naomba uje PM tuyajenge nianze hizo process
Mkuu ndio mwanzo lazima changamoto na uchukue maoni ya wadau..nimeweka leo bandiko langu ila nimepewa vitu vingi na wanajamvi PM..mpaka ikifika friday bidhaa yangu itakuwa na muonekano mwingine, ila kwa quality ya product ipo vizur sana mtaani ni gumzo nimeileta hapa ili niokote ya huku na ya huku lengo nifike kuleeeeee kabisa...shukran kwa woteNimependa ulivyokuwa mkweli
pembeni ya mlo wako huwezi kuikosa....Shukrani kwa woteTemeke mabwepandemkuu nahitaji robo lita unaweza kuniletea huko Temeke Mabwepande

Umepata mkuu...nicheck ktk no 0629565168 ili niweze kukufikiaTemeke mabwepande![]()
Siyo mimi kiongozi mi nilikuwa tu nashangaa hiyo temeke mabwepandeUmepata mkuu...nicheck ktk no 0629565168 ili niweze kukufikia
Ndio changamoto hizo mkuuSiyo mimi kiongozi mi nilikuwa tu nashangaa hiyo temeke mabwepande
Shukran mkuuHongereni sana.
Japo sio mtumiaji wa "washawasha" aka 2nd 2nd au pilipili ila nichukue nafasi hii kukupongeza kwa utangazaji mzuri,unahamasisha na una good packaging, mpaka natamani kuonja![]()
![]()
![]()
![]()
Mchanganyiko wa matunda, tangawizi, vitunguu swaumu, vinegar....inapatikana ktk ujazo tofauti. Watu wa bar, restaurant, BabaQ n.k naweza kukuwekea ktk ujazo kulingana na maitaji yako kibiashara...nafanya delivery bure kwa Dar es salaam siku ya ijumaa na jumatatu...0653408957 na 0629565168![]()
Mnatuzinguaga tu mavitu kibao feki na yamepitishwa na hao tfda yapo supermarket (artificial zote zina preservatives, etc), sasa huyu kakwambia kabisa kitu natural, na isitoshe ndio anaanza! Soon huo wimbo wa tfda tutaanza kuuskia hadi kwenye maandazi ya mama ntilie! Au kisa kuweka kwenye chupa? Au kuipa jina?Je,ina kibali cha mamlaka ya chakula na dawa (TFDA)?
Acha vitisho wewe, unafikiri mtu anapigwa pingu hovyohovyo tu, elimisha sio kutishanautapigwa pingu!!!! utawajibika kwa kuvunja sheria za nchi!!!
Shukrani sana mkuu...upendi kuwashwashwa eehJapo sio mtumiaji wa "washawasha" aka 2nd 2nd au pilipili ila nichukue nafasi hii kukupongeza kwa utangazaji mzuri,unahamasisha na una good packaging, mpaka natamani kuonja
....next week nakuletea ukwaju souse