Nauza pikipiki yangu aina ya honda cc 250

mrangi

JF-Expert Member
Feb 19, 2014
87,049
120,367
Bei yake ya kuuza ni milion sita na laki tano(6,500,000/)maongezi kidogo yapo.nishawekea plate # mpya za pikipiki,pikipiki sijatumia kabisa hapa tz tangia nitoe denmark
Kwa wale serious buyers mnitafute kwa namba hii 0715591141 niko dar es salaam
 
20151125_062748.jpg
20151125_062748.jpg
Hiyo hapo
 
Last edited:
Bei yake ya kuuza ni milion sita na laki tano(6,500,000/)maongezi kidogo yapo.nishawekea plate # mpya za pikipiki,pikipiki sijatumia kabisa hapa tz tangia nitoe denmark
Kwa wale serious buyers mnitafute kwa namba hii 0715591141 niko dar es salaam
6,500,000 nanunua tairi 2 ................... ok watakuja waliozoea hayo madude ya mashindano au wale watoto wa Magomeni au kule kawe kwaajili ya ile michezo yao.
 
Haya madude yana raha yake tena ukiipata meo 6 wakati Wa kipanda inabidi uweke ngazi ukitulia juu wenye mark x wanasoma namba
 
Back
Top Bottom