Nauza pikipiki Yamaha 300k

Nauza pikipiki Yamaha 300k

Street Hawker

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2020
Posts
391
Reaction score
685
Wakuu nauza pikipiki yangu kwa 300k tu, nimepata dharura na mfukoni siko vizuri. Pikipiki ni Yamaha tatizo lake ni kabuleta tu, njoo uichukue kwa hiyo bei mwenyewe nimeridhia kwa moyo mkunjufu.
CONTACT: 0659 918 194
Screenshot_20250408_154352_WhatsApp.jpg
IMG_20250407_145559~2.jpg
 
Cabureta hii tatizo utasolve wapi?Angekuja mtu kuifata mapema tu kesho isingekua kimeo
Ndiyo mana naiuza bei hiyo mkuu ili kabuleta ukatengeneze mwenyewe, ukiinunua ipeleke kariakoo ndiyo kuna mafundi wa pkpk hizi, mm tatizo nimekwama kipesa na nahitaji hiyo pesa haraka kama sivyo nisingeiuza hii pkpk kwa bei hii, ningetengeneza mwenyewe.
 
sema neno tufanye biashara chap.
Mkuu unakabia juu sana, hata baiskeli ya kueleweka hupati kwa bei hiyo, mm naiuza hii pkpk sio kwa kupenda bali nina shida na hiyo pesa, but hata hivyo siwezi kuiza kama naitupa mana ni asset hii.
 
Back
Top Bottom