makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 36,011
- 104,594
Carburetor yake bei gani?Ss kigamboni itabidi niibebe mkuu na mm sina kitu Boss.
Carburetor yake bei gani?Ss kigamboni itabidi niibebe mkuu na mm sina kitu Boss.
Kabuleta niliwahi kuuliza jamaa akaniambia haizidi laki ila mafundi wazuri wapo kkooCarburetor yake bei gani?
Nitakuja na fundiKabuleta niliwahi kuuliza jamaa akaniambia haizidi laki ila mafundi wazuri wapo kkoo
Engine yake ni ipi? ya mapigo manne au mapigo mawili(ya kuchanganya petroli na oili)?Sijakuelewa mkuu, fafanua
Ni ya petrol mkuuEngine yake ni ipi? ya mapigo manne au mapigo mawili(ya kuchanganya petroli na oili)?
mkuu nimekudmNi ya petrol mkuu
Kaka usikae kiboya wahi chuma hichoNitakuja na fundi
Nishaghairi, unataka uwe unatumia kwenda kuuzia nyago kwa mademu wako mdogo wanguKaka usikae kiboya wahi chuma hicho
Acha nongwa bro, hiko chuma kinge nifaa sana maana nime choka kubambia kwenye mwendokasi 😂😁Nishaghairi, unataka uwe unatumia kwenda kuuzia nyago kwa mademu wako mdogo wangu
😂🤣
Acha nongwa bro, hiko chuma kinge nifaa sana maana nime choka kubambia kwenye mwendokasi 😂😁Nishaghairi, unataka uwe unatumia kwenda kuuzia nyago kwa mademu wako mdogo wangu
😂🤣
Imeisha hiyo, ngoja tugomboe mdogo wangu..Acha nongwa bro, hiko chuma kinge nifaa sana maana nime choka kubambia kwenye mwendokasi 😂😁
Pkpk ni yangu na ina documents mkuu.Oya ee sema kweli hiyo pikipiki ni yako ama ni bidhaa itokanayo na zile vurugu? Sema kweli mkuu isije ukatuingiza kwenye matatizo.
sawa! MkuuPkpk ni yangu na ina documents mkuu.
Inafika mpk 5milHivi hizi zikiwa mpya hua zinauzwaje?